1:Naongelea nashi na Mawenge Nimeacha kusonga,
2:kwenye utafutaji nimeacha uoga, ukinikuta eneo la kazi kama nimeacha kuoga,
3:nirelax vipi Na nyumabani nimeacha maboga, ni tofauti na nikisema nimeacha ya mboga,
Huyu Mchizi nouma sana, creativity ya hali ya juu, mchizi hatoki nje ya mada, Ngoja mchizinimsifie2 Nimeacha kumponda.🥺🥺
2026-08-25 10:43:37
3
oppazidi :
Anaitwa nani uyu
2026-08-25 09:32:53
1
David :
jimbo inaitwaje jina
2026-08-25 10:34:54
1
Gibs :
hiki kipande aisee kiwekeni vhote daah🔥🔥
2026-08-22 13:24:26
3
Hajji Kimwasule :
Ase mkal nakkubal san 😇😇😇
2026-08-25 10:06:50
1
king decor finishing :
anajuwaaa
2026-08-24 19:03:47
1
jacob james :
Noma saaaaaana😳😳
2026-08-23 18:33:18
1
Ahadi Makalanzi :
Siwezi kupita kimya aisee uyu mwamba alipita vzr sana punch lines halafu mby zaidi alikaa kwenye beat big up kaka
2026-08-25 14:21:16
1
shukuru Ntella :
yaaap mbeya mnatixha
2026-08-25 12:05:17
1
Godlisten Mwasha :
Hakika ninja🔥
2026-08-25 11:09:19
2
cross over :
bars🔥🔥🔥🔥
2026-08-24 19:28:27
1
hard c :
noma sana
2026-08-24 12:38:00
1
BARAKA :
Hip-hop
2026-08-20 18:46:30
1
SOMJI MJISO8 :
ukinikuta eneo la kazi kama nimeacha KU0GA
2026-08-24 13:19:32
1
Abbymelek, TZ :
🔥🔥🔥🔥
2026-08-23 10:34:54
1
To see more videos from user @sound_bite_lyrics, please go to the Tikwm
homepage.