@naupenda.uislam: #creatorsearchinsights #contentcreatortrends #maulidi

NAUPENDA UISLAM
NAUPENDA UISLAM
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 11:14:59 GMT
21017
716
58
262

Music

Download

Comments

adamkombo17
Adamkombo1 :
Hawa Sasa wameharibu mauldi
2026-08-18 11:56:01
1
paul4586008453728
INFIRMIER PAUL :
Subhan Allah, Allah atuhifadhi na uzushi
2026-08-16 11:38:00
4
user280478115081
subira yamungu :
sheikh kaingea bn maulid kwanza sema ndo hivo tuuuu maana kama asili ya Ibadan yeyote ni Haram had ipatikane ayaa sasa maulid hata kwenye Quran haijatajwa na mtume Wala haijui hyo maulid sawa je kumswalia mtumeee Kuna miez maalum au ni wakat wowotee mmmh hapana kwakweli mm maulid kusoma naweza ila nulipojifikilia weee niliacha kabc na sishabikiii kabc
2026-08-17 00:14:12
3
mariam.mataka
Mariam Mataka :
Mimi maulidi basi Nimeelimika kupitia tv. Imaani Mahacni Africa tv Kila la. kheri mashekhe wote wa ki nsaal Sunna Al jamaa Nawapenda wote kwa ajili ya. Allah
2026-08-17 12:55:43
5
allaakbar54
Abuu Ahmad ☝️🕋 :
hawa huwa nimachiz maulid Allah atunusra nahili🤲
2026-08-17 05:00:59
1
grandchildofmwanza
no one :
mashallah yaan kuna vitu ata akili yenyewe automatic inagoma kabsa
2026-08-17 07:57:09
3
musaayub31
Musa Ayub :
mimi kwaheri maulidi siwezi hata udhuria yanapo fanyiwa audhubillahi
2026-08-17 08:45:09
1
drabufathmamufti.co.ke
Dr Abu Fathma Omori A. Mufti :
na pia watueleze nguzo za Maulidi kama sio wali na twari Mauludi ni uzushi na ni upotovu mkubwa na inaelekeza kwenye moto
2026-08-17 04:57:39
3
mr.kihanga
Mr KG :
Hayo sio Maulidi hiyo ni sherehe ya arusi
2026-08-16 18:16:52
0
hakeemprince868
Hakeem bin Hizam :
أحسنوا استقبال هذا الشهر الكريم فيه ولد خير البشر محمد بن عبد الله صلى الله عليه وسلم
2026-08-16 21:34:28
0
sheheabdulhamid
Mr Khalid :
Astaghfirullah
2026-08-17 07:10:47
0
user76629437115013
Ahmed baasaas :
hivi kweli mtume s.a.w. amezaliwa tarehe 12 mwaka watembo?.
2026-08-17 16:39:48
0
ramadhaniserss0
ramadhanialama8 :
kumswalia Mtume hakuna Hadith zinazoelezea hilo
2026-08-17 21:54:56
0
mustafanaida
Abuusalman :
hawana jibu, Kila SIKU wanakuja na dalili mpya.
2026-08-17 14:36:54
0
ibrahimanafii102
ibrahim anafii :
ila maisha haya allaha atunusulu
2026-08-17 11:47:17
1
user9039158510772
Barackbasala :
Hi style ya maulidi nimakosa ndugu zangu, ina niuma sana na inasikitisha kama waislamu. tumsifu mtume wetu Muhammad kwa uziri my brothers
2026-08-17 21:49:21
0
abumuthannakansas
kansase :
akhy tupe maswali yote
2026-08-16 16:58:45
0
user76629437115013
Ahmed baasaas :
maulidi yalianzishwa nakundi ambalo walikua wamejiita niwajukuu wa fatma wakajiita fatmia.. wameamua kuwaiga manasara kwakupanga kwao tarehe yakuzaliwa kwa yesu, nawao wakaiga wakapanga tarehe 12 mfungo 6 yakila mwaka.. je nahii kufunga siku ya j'3 inatambulika kama nini?. tuisome historia inayohusu maulidi ilizushwa nawatu gani...
2026-08-17 16:36:25
0
zangul.emedy
Zangul Emedy :
😳Eeeh
2026-08-17 10:18:10
0
shukrisinan
shukrisinan :
2026-08-16 18:54:38
0
inmydream1962
Misssexy :
Astafiruallah
2026-08-17 10:19:14
0
alex.richard9438
Dr. Ashraf Ramzy Al Ginawy :
ALLAH AWAONGOZE
2026-08-18 08:22:40
0
shukrisinan
shukrisinan :
2026-08-16 18:55:10
0
user1635346993680
user1635346993680 :
sheigh ongelea usgoga na mpila maulidi upati zambi
2026-08-17 04:10:16
0
shukrisinan
shukrisinan :
2026-08-16 18:52:38
0
To see more videos from user @naupenda.uislam, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About