decision zingine acha kabisa kuhusisha mzazi , choose wisely for yourself...
2026-08-16 15:08:34
4
Yüøñg kåsh @tz :
respect
2026-08-16 13:17:43
0
Shabany Jumanne :
amenifanya naish singo had sasa 😂😂😂😂
2026-08-16 17:28:33
11
shakir juma 💞🍎💯 :
mim niribish nikarazimish on sas mam sin piah naria mwenyew 😭😢 najut
2026-08-16 15:03:39
11
Sophie Jeffery ❤ :
kweli kabisaa ujaongopaa
2026-08-16 12:20:24
6
kanza kid 1tu 🌍 :
.love mom 👩
2026-08-16 12:49:08
0
Smart king Boy tz :
au akikwambia sijui Kama mtawezana ujue Kuna vitu kaviona ila haiwezi kukusimulia
2026-08-17 08:57:33
3
45ellizah :
mm nili ambiwa nikasem wewe ujui mapenz ume zeek nilipigwa tukio sin ham
2026-08-17 08:08:08
3
king kilele@@@ :
yeah huo ndio ukwelii
2026-08-16 12:56:37
6
mzungu wa madaw :
sana kaka mim sikupingi ata kidog
2026-08-16 17:50:46
2
purple berry💜 :
mm nilijifany mjuaj kilichonikut 😏 nkawa mlala hoi Kam ex wangu
2026-08-16 15:54:17
7
Taffah Museven :
respect
2026-08-16 19:51:16
0
slim nyabuturi :
Yani siku hizi namsikiliza mno isingekuwa mama yangu Sasa hivi ningekuwa mjane😂😂 , aliniuliza mama angu siku hiyo alivyosikia nataka kuolewa na jamaa flani Agie mwanangu una machozi ya kulia nilicheka tu Wala siku mjibu ilivyofika 2025 jamaa akapata ajali na mpenzi wake ambae sio mke wake, Yani Sasa hivi ningekuwa mjane na watoto watatu pembeni😂😂😂😂 nachoka mimi
2026-08-16 19:00:22
2
Paty tz :
saw kaka
2026-08-16 17:40:12
1
Rhoda Samwel :
love you mama
2026-08-16 17:56:03
1
it,s rose💞 :
nasaiz najuta kwa mengi alinambia na sikumsikiliza😭😭😭😭😭
2026-08-17 05:15:53
1
Baracka,,k👍🇺🇸🇺🇸 :
kweli bro
2026-08-17 21:29:24
0
thomasleonard :
hiii imenigusa we ni rafiki yang bhna👊💯
2026-08-16 18:34:43
0
dausonmwagen :
ye ndio anakaa nae
2026-08-16 20:29:37
0
CAPTAIN DEGE❤️ :
kweli kaka ila wengi wetu tunakuwa wakaidi mwishon tunaishia kulia kaka
2026-08-17 20:29:44
0
Arsenal princess 💞 :
mm kumix mapenzi na wazazi never,wanaeza Fanya uzeeke single
2026-08-18 07:02:55
0
Sheillah-♤♡☆ :
simsikilizi kwenye mapenz cos yeye aliambiwa baba hamfai lakin mpaka leo wapo wote😂