tatizo tunapuuzwa sana na kuonekana kero na hatuna pakwenda
2026-08-16 16:13:33
35
stellah ❤️🇹🇿 :
na tukijielezea sana tunaonekana tunashobo sana
2026-08-17 14:48:14
10
rabiot :
me Nisha jieleza Sana Yani mtu kakukosea yeye na Bado una mbembeleza lakin wapi oky bas nimejivua lasmi
2026-08-17 07:50:33
10
RAHMAN :
fact
2026-08-18 14:11:20
1
☆ĺìàŕ_Qùèèñ☆ :
Me nilivo jielezea kwenye somo la history inatosha😂😂😂
2026-08-17 21:01:10
3
Officialbella ♒️ :
Uyu nilie nae ni vile tyu me ni vitu vyake ila upendo wake kwangu aupo
2026-08-18 14:28:12
0
mke halimaaa :
My man 💪 shuu
2026-08-17 03:06:17
3
Mose :
Ukiwa hivi unaonekana yatima wa. Mapenzi inachosha una give 100% unaget in return 4% we unaweza???
2026-08-16 20:55:51
2
Hallo mam :
Mm ninae Hyu mtu
2026-08-18 11:09:26
0
ummy_athman :
Alaaah kumbe?
2026-08-18 16:54:05
0
Mwachangoma :
Asante kwakunipa moyo acha ni subr inshallah ☺️☺️
2026-08-17 07:03:35
1
monamo💦💧 :
mimi nimeshidwa huyu wangu Adai jeshin kumemharibu awe mkali kila saa yani hamna amani hata kakika moja mkali mda yote Hana mapenzi kabisa nikitaka kuondoka analia machozi nashidwa kuelewa msaada huu ni upendo au nasindikiza maisha ya mtu
2026-08-17 08:59:32
1
life of najmah :
tukifanya hivyo tunaonekana wasumbufu brother
2026-08-18 08:07:10
1
cherry :
ndio mim lakini nimechoka xaxa
2026-08-18 08:14:03
0
Zayn. khan🎲🕊🕊 :
kaka mmi ninae huyo unaulew mkubwa saan maswala ya mausiano
2026-08-16 19:00:23
1
fyna🥰 :
my man❤️
2026-08-16 20:56:07
1
ALBEK...🫡🫡 :
shida hatujaqahi kuwa na maan mbele ya watu tunao wapenda
2026-08-16 20:56:14
1
ROSE CASHIER👌💕📌💥 :
Zarau zimezidi ndo nomaaa
2026-08-16 20:29:16
1
Zaynab Khamis :
kwel kbsaa
2026-08-17 16:55:32
0
🥰🥰lady mii💞💘 :
wanatubeba ufala
2026-08-17 19:48:36
0
emmylnightdress :
Ninaaushaidiii brooo daaah
2026-08-18 08:00:38
2
La douce 🌸🧸 :
Na mpenda ❤️🩹🫶
2026-08-18 06:03:53
0
Official trice :
dah! kaka nikweli ama unanipa faraja2
2026-08-17 21:36:04
0
Farida Juma :
Huyu ni mimi kabisaa kwanza sipendi kuona Ana hata huzuni sura kukosa Nuru yani 🙏
2026-08-17 21:20:58
0
Jasmine Ally :
🚶♀️hawalijui hilo
2026-08-16 23:04:13
0
To see more videos from user @king_m0tivation, please go to the Tikwm
homepage.