@ashmar_quotes: Wewe ni nguvu ya moyo wangu, faraja ya nafsi yangu na sababu ya tabasamu langu kila siku. Uwepo wako ni zawadi ambayo moyo wangu huithamini kila wakati. Nakupenda si kwa maneno pekee, bali kwa kila hisia iliyo ndani ya moyo wangu. 🤍 Ewe Allah, mlinde daima. Mjaalie afya njema, amani ya moyo, furaha na mafanikio katika kila hatua ya maisha yake. Muepushe na kila baya, mjaalie kheri katika kila jambo🌸❤️🥰.#fy #contentcreator #lovequotes #TrueLove #viralvideo @TikTok @tiktok creators

🌸~♡Ashmar~🦋🥰
🌸~♡Ashmar~🦋🥰
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 11:47:44 GMT
15461
569
7
193

Music

Download

Comments

ummuabdi012
ummuabdi@01 :
huu ujumbe ntapost status lakin kwenye caption ntaandika MAMA
2026-09-17 09:32:05
0
user6367615755247
user6367615755247 :
🥰
2026-09-11 11:44:24
0
faswila.imam
Faswila imam :
🥰
2026-09-05 13:26:21
0
ummuhchrlz
umchrlz :
🥰
2026-08-16 14:42:15
0
rentney
❥𝐌𝐑𝐒 𝐊𝐈𝐍𝐀𝐍𝐀❥💍🧿❤️🔐 :
@WIZ ALPHA
2026-08-16 11:56:24
0
user2811703377499
Amina amish :
🥰🥰🥰🥰🥰
2026-08-16 20:29:34
0
To see more videos from user @ashmar_quotes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About