@ramseyramazani64: Mambo 5 ambayo usimwambie mpenzi wako hatakama unampenda. #tiktokkenya🇰🇪 #tiktotanzania🇹🇿 #ushaurikwavijana #viralreelsシ #ishivizurinawatu

RAMSEY RAMAZANI
RAMSEY RAMAZANI
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 12:02:43 GMT
62890
3063
101
102

Music

Download

Comments

cecezuuu
am Cecilia :
nafanya yote lkn password ya account hasahahu
2026-08-19 00:19:21
1
user6163059960729
Rich :
really brother
2026-08-18 19:49:03
0
user1802327614675
EMYNADO⛎️💋🎀 :
katka ktu ambacho sipend kwenye maisha yangu au mahusiano sipend kwamwambia mpenz kuhusu maisha yangu me ni msiri
2026-08-17 06:05:29
16
angeljoseph460
angeljoseph460 :
mimi sasa navyofungukagq duh
2026-08-16 20:57:47
15
user73728667944132
G :
mbona ukusema mapema jamani Mimi nimeshaharibu uku 😢💔🏃🏃
2026-08-17 04:55:08
11
user83499862121488
user83499862121488 :
jmn kuhusu Siri mbona nishazifujisha duuu
2026-08-16 20:15:06
6
fatima2fa
@fatima2fatima :
kweli kbsaa brother nakuaminiy
2026-08-19 11:17:04
2
rauswatsadiki
precious 💞 :
fact 💯 mwanaume sio ndugu yakoo
2026-08-18 10:27:33
12
dotinatha.mshwahi
dotinatha mshwahili :
eeh jamn mengine hayo yantuubna unjikuta umeongea jamn lbda password ya bank hyo sitadhubutu
2026-08-17 10:13:21
6
ashura.kiwamba
EZZAH MITI :
Ata awemume simwambii silizangu iposiku tutaachanatu🙏
2026-08-19 11:44:35
1
cllav_
cllav-T-306 :
mbona sikuona hii video kabla😭😭
2026-08-19 09:42:55
4
manjoge4
nur :
Kama ananambia
2026-08-17 05:59:41
3
mchagaaawa
lastborn🥰🥰🥰 :
😂😂😂😂😂😂😂afadhal sijawah mwambia chochote cha familia yetu zaid tuko wangap bas apo namb tano tyu ndo anajua mana tulianza kama malafik hivyo sikuweza kumficha baadh ya mambo had kuja kuwa wapenz bas alishajua kila kitu kwenye mahusiano ya nyuma
2026-08-19 09:02:29
1
nuraty.mihigo
Nuraty Mihigo :
Ongea halaka kidigo
2026-08-19 09:44:32
3
sophiamwaigwisya2
Sophia Mwaigwisya :
sio mpenzi tu ata rafiki wala nani siwez mwambia siri zangu
2026-08-18 15:47:45
4
amirymdee
Amiry Mdee :
***Hata mke hafai kuambiwa hivyo**
2026-08-18 19:11:24
2
jescaemanuelrashi
Jesca Emanuel rashidi :
me najuta
2026-08-19 06:29:06
1
nashbeautyhouse1
🦋NASH beauty HOUSE Ltd 🦋 :
ninapokuwa na mpenzi wangu namuambia kila k2 ila akae akijua sipo serious na hilo penzi ninayempenda siwez nikawa opening kwa kila ki2 kwanza hiyo nguvu ya kumwambia kila k2 naitolea wapi
2026-08-19 14:50:49
0
victoria.mcute7
Victoria mcute :
ningejua mapema nisingeongea mmi sijui ulikuw wp ww
2026-08-19 10:33:14
1
user9869981083205
gily :
𝒉𝑖𝑦𝑜 𝑦𝑎 𝑡𝑎𝑡𝑢 𝑦𝑎 𝑚𝑎𝑚𝑏𝑜 𝑦𝑎 𝑏𝑒𝑛𝑘 𝒉𝑎𝑡𝑎 𝑛𝑖𝑤𝑒 𝑛𝑎 𝒉𝑎𝑙𝑖 𝑚𝑏𝑎𝑦𝑎 𝑠𝑖𝑤𝑒𝑧𝑖 𝑚𝑤𝑎𝑚𝑏𝑖𝑎 𝒉𝑢𝑦𝑜 𝑚𝑝𝑒𝑛𝑧𝑖 𝑤𝑎𝑛𝑔𝑢
2026-08-17 10:20:25
3
magrethmagrethshi
magreth :
mimi namwambiaga uongo akinibana sana
2026-08-18 16:32:14
1
rachelp.0
Tumba Vital :
vas y
2026-08-17 15:16:47
1
user52081004458480
rudy madini :
sasa wewe ulikuwa wapi Sasa hadi nshabondonga🤣🤣
2026-08-18 14:44:15
2
user72342637457118
user72342637457118 :
hata akiwa mume siwezi ongea mambo ya familia yangu ng'oo kila mtu abakie na ubahau WA kwao😁🤣😂
2026-08-17 06:09:42
3
ashaameir678
ashaameir678 :
hata mume au mke ucmpe sir za familia nae pia ni rafiki tu
2026-08-18 09:25:05
2
To see more videos from user @ramseyramazani64, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About