@abdulatifuhamdani: #mawaidhayenyemanufaa

abdulatifuhamdani
abdulatifuhamdani
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 12:09:03 GMT
20151
1136
73
110

Music

Download

Comments

user8882485602499
Ustadh Ali Said Ana :
Hali ni Hali Wala haizami
2026-08-18 16:49:13
1
user4481711826149
ابو احمد السلف :
Hakuna khilafu hapo Kaka Maulid ni bidaa na hakuna dalili hata Moja ya maulid
2026-08-16 20:06:44
8
user1056105665462
user1056105665462 :
Na maswahaba walikuwa na khilafu kwa maulidi? jibu la hakika utapata hapo
2026-08-16 20:15:18
1
abu.ahmadh2
Abu ahmadh :
2026-08-17 12:39:15
1
scania_mninga
mirumba :
abdala sale farsy alikataza maulid mwa 1972 sasa mwanazuoni huyo waleo
2026-08-16 14:14:25
1
mafaz0010
mafaz001 :
huyu ataka tukubali nasheed yana khilafu na maulidi pia hivyo hivyo kuwapa udhuru wanaotekeleza hayo yote kua huenda wako sawa yote tisa jamhuri maulidi ni bidaa ndio kauli ya nguvu
2026-08-17 18:52:48
0
abuu.dhulqarinain3
Abuu Dhulqarinain :
YA ALLAH NIPE ISTIQAMA KTK DINIYAKO. Maana zamatulizomo fitna nikubwa mnoo
2026-08-16 19:15:28
3
hajichumu
zakarya :
mwanzo alikuwa anapinga sjui amepatwa na nn
2026-08-17 14:17:20
0
bekoalmayo
Beko Almayo :
Na tunasubiri mze asafishe mazingira . Ama hajaona hi clip (Abdallah humeid)
2026-08-18 07:10:54
0
fahmisagar5
A.SHUAYB :
hatakama kusoma sijuwi kwani picha sioni niseme ni bidaah ndio musije kupelekwa ummarah na Mimi munisusie 🤔 WEEE ALLAH ATUONGOZE SOTE KWENYE HAQI.
2026-08-16 18:27:46
2
user7283786818767
sayyd :
we salafy wa mkopo mdogo mdogo
2026-08-19 09:17:51
0
loyality27_3
KEYVIBES :
swadakta
2026-08-18 10:04:20
0
salim.ayub02
salim ayub :
MashaaAllah bro
2026-08-18 12:06:17
0
barigido
barigido :
watu wapinga kwa chuki kusoma ndio hawataki
2026-08-18 04:26:58
0
smiley_____12
Smiley :
Audhubillah
2026-08-18 19:55:20
0
user4830383029619
عبدالرحمن :
swafata mtume
2026-08-17 17:57:49
0
omar.mjukuu
omar mjukuu :
mashallah
2026-08-16 12:20:45
0
abu.ahmadh2
Abu ahmadh :
2026-08-17 12:39:02
0
mansourmtauni
Dr. Mtauni :
Kwani Maulidi Ilianzishwa Mwaka Gani Au Karine gani. ?!! Na Wanaosema Ni Bidaah Walianzia Mwaka gani Au Karine ya ngapi ilipogunduliwa Kuwa ni Bidaah?!! Na lengo la Maulidi lilikuwa Nini Ktk Bidaah hii !!?
2026-08-17 15:19:43
0
zamashmakjr3
zamashmak :
mwanachuoni wetu wa karne yetu n Ibnu taimiya2 wengine wanao fuata n walimu2 na mashekh wa kawaida. kwaio maulidi hayana udhru wala ikhtilaf
2026-08-17 18:08:23
0
mohamad.yussuf4
Mohamad Yussuf :
mashaallah
2026-08-19 16:37:45
0
hajjajji25
hajjajji2 :
Hakuna muongo
2026-08-17 17:15:37
0
allylongochy
Ally-X :
qauli raajih n gani
2026-08-18 11:47:22
1
binawadhalnabahany
binawadhalnabahany :
tuache chuki zilizo tengezwa
2026-08-19 17:00:12
0
user8402501318080
yassini fadhili :
haihitaji nguvu mtu kukuelewa sheh
2026-08-16 12:28:04
0
To see more videos from user @abdulatifuhamdani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About