@saluh_tz: WE ALL HAVE ONE FRIEND TO SUPPORT🙏🥹🙌 Here is Mine💯🫡 Huyu ni Rafiki yangu mtumishi @MWASO mimi hupenda kumuita PACHA kwasababu ya Bond tuliyokuwa nayo tukiwa BSS 🥹🤝 Kwa unyenyekevu mkubwa Ametoa wimbo wake mpya #MAMA 💔 tafadhari ninaomba sana Tumsuport anapambana sana Injili iwafikie🙏🙏🙏 Inapatikana kila kona ya mtandao wake🔥🙌 MUNGU awabariki sana🙏✨ . . . #mwaso #gospel #newsong
SALUH 🐰
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 12:19:26 GMT
Music
Download
Comments
MWASO :
My geeee🙏🙏🙏🙏🙏
2026-08-17 14:06:18
1
Phanymusic :
maana halisi ya hisia, una kichwa kikubwa sana brother! daah Hapa umetuimba vijana wote wapambanaji 😌
2026-08-17 01:56:33
6
michael.Jr :
nyimbo zake mbona hazipo dj mwanga
2026-08-17 05:40:08
4
young bk tz :
Ana jua sanaa nyimbo hii ina itaaje
2026-08-17 06:36:17
2
It's A_I :
is it out🥰🥰
2026-08-17 07:43:56
2
Nkuba Mbulika :
Aisee huu wimbo huu unetisha sana.
2026-08-16 12:25:46
2
Mr Iconic shwari ⛎ :
ANAITWA JOHN MWASOMOLA🫵🏿👊🏿🥰🙏🏿Familia
2026-08-18 04:35:26
0
jackmol n'Gun'cat :
watu wa 255 tukiwa 254 tunawalubali sana
2026-08-17 12:51:27
0
saimini savage :
kamaa nimwandishi mkali
2026-08-18 19:09:24
0
Ethan abby :
ana juwa San kipaji kipya kita watesa sana bongo fleva
2026-08-18 11:57:21
0
sam :
anko🔥
2026-08-16 12:22:47
0
DEAP,🏆SEA young family 🌹🫀 :
ila kaka anajua saana anaimba fact kabsa nakukubari kaka mkubwa🤝🤝
2026-08-16 18:38:03
0
wasmizer🪘 beatz🇹🇿🇹🇿 :
inaitwa dje djamani. anaimba vizuri sana wallah
2026-08-18 17:03:25
0
Emmanwel nicholaus :
We salu umeona wanao juwa hao
2026-08-17 07:53:33
0
TRIAL KIDDY :
saluuh namkukubali sana kumsapot brother wangu😂
2026-08-17 13:20:43
0
DAYLO :
john mwasomola anajua sana uyo mwaisa mnyakyusa kipaji kipo tena kikubwa
2026-08-17 12:59:03
0
pretty wizzy💕🫦 :
tia vers yako hapo saluh🥰🥰
2026-08-17 11:43:30
0
d@y4n4 :
Wimbo unapatikana wapi?
2026-08-17 11:42:55
0
fupiboy :
daaah ila saluh unajua kaka
2026-08-16 17:23:07
0
Eliudi bayo :
my brother
2026-08-16 14:53:54
0
she'swanted :
nyimbo nzuri sanaa
2026-08-18 19:15:00
0
fupiboy :
sema ungeweka verse yako hapo
2026-08-16 17:23:28
0
_cHECANN🗽 :
ss kk angu saluh unatakiwa utie verse zako
2026-08-16 16:54:28
0
ice jeff :
@+254 amjafika uku
2026-08-16 15:00:54
0
@VibeRush🇹🇿 💧 :
👍👍😭
2026-08-16 12:21:55
0
To see more videos from user @saluh_tz, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.