@madam_leila: Eti kaka zangu! nimewahi kuwaongopea mimi? 🤔

Madam Leila
Madam Leila
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 13:07:04 GMT
924635
86803
835
6505

Music

Download

Comments

sara.mwalim
Sara🤍🍓 :
Mm nikikupenda nakusumbua mwaya ukiona sikusumbui nina mwengine😂
2026-08-29 14:38:18
314
fave__loriey
Ms.Glorie🌸 :
Wanaume huyu mama anawadanganya😂😂
2026-08-30 15:44:38
70
cute..15...g
cute 🥰🥰 :
sio kweli kabxa
2026-08-31 04:38:04
56
linge_kariakoo
LINGE VIATU 🇹🇿 :
Madam unatuchanganya sasa 😂
2026-09-01 10:48:34
36
aiemlilah07
Lilah🖇️🦋💕 :
Mm nikipenda nasumbua na na wivu 😏
2026-09-01 06:01:34
40
nshanisha1
Ismaah💕💅 :
mm ukiona sikusumbui jua sikupendi mm nkipnda nakua wamoto🤣🤣🤣🤣
2026-08-16 14:24:27
41
girrrrrrlly
.. :
mimi bdo sjaonja lkn kayataka yeye nimsumbue asinge cheat
2026-08-29 05:18:55
40
idrazzo_
Idrazzo :
hapo hazungumzii usubufu wa wivu hapo anazungumzia kiburi
2026-09-01 07:46:09
20
rehemalaizer8
rehema laizer :
hapana kwa hili nakataa mambo mengi uko sawa
2026-08-16 14:22:37
64
sister.p__
HADIJA :
mpaka k1simi kinaniwasha jamani
2026-08-29 08:08:49
13
user5523600121399
megiii :
kwa hili ñimekata 😳mwanamke akikupenda lazma akusumbue kwa kuwa Ana wivu Sana na wewe
2026-08-29 20:15:06
5
lizykessy
Lizy [email protected] :
Uongo mwaya mim nikikaa kmy upendo umezikwa
2026-08-31 11:21:15
7
shuuthyn
shuuthyn :
hiyo point umeitoa sio kweli maadam,kusumbua kwa mwanamke ni kutokana na kupigwa matukio na mwanaume.
2026-08-28 19:46:04
16
trybeth5
💦lisper🎀 :
mmh bc tunatofautiana maana mie nikikupenda uwiii nasumbua had nakera
2026-08-29 17:56:00
6
mathayosanze537
ruguru og ( baba prisca :
Yani dada unaongea ukweli Kuna mdada nilimpenda sana lakini hakuwa wangu Yani ilikuwa ili anipe niichape basi nikiiomba January naipata April sasa nimempata mwingine uyu wasasa ni wangu maana yeye ndio anaileta niichape mwenyew tena ananiuliza ujaimisi
2026-08-31 08:10:07
10
millcott
Min Walcott 💥 :
uwongo ukipenda tunasumbua
2026-09-01 05:31:51
4
esir.cinho003
ESIR CINHO#003 :
Absolutely 💯
2026-09-01 09:55:24
2
user9724115095690
dodo💜. :
da Leyla upoje unanigombanisha😂🙌
2026-08-16 13:53:02
5
user4169658041078
🫂Someone's trouble😅🦋🥳 :
njooni mnione mm sasa ninavyosumbua huku 😂😂😂
2026-09-02 12:39:50
3
iamruge
IamRuge😘 :
Jaman naomba mkiona mtu anauza kitanda na godoro, tv,jiko la ges na kafriji kadogokadogo.. msinunue tafadhari ni mweny nyumba anauza vitu vyangu. Tuwe na umoja jaman
2026-09-20 20:07:53
1
nakupenda190
NAKUPENDA :
MWENETU KWANI UNATAFUTA COMENT GANI 😂
2026-08-29 09:15:17
4
daniel.mollel24
daniel mollel :
kweli kabisa
2026-08-30 18:35:55
1
rashmii1203
Rashmii :
Mmh sio kweli mimi Niki penda ni msumbufu balaaaa
2026-09-12 02:55:26
1
afidhuligalawa
afidhu :
nmekuelewa hapo anty 💔💔🙅🙅
2026-08-31 20:26:14
1
user405016258633
shamy :
yaah kweli
2026-09-01 06:08:52
2
To see more videos from user @madam_leila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About