@abdulatifuhamdani: #shekhe_walid_al_had🇹🇿🇹🇿🇹🇿

abdulatifuhamdani
abdulatifuhamdani
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 13:14:13 GMT
288641
22794
652
4681

Music

Download

Comments

metty_collections
Metty collections👗 :
watushike mikono wajulikane kama wameoa
2026-08-17 08:48:53
213
asia.wazir6
Asia Wazir :
wambie shekhe
2026-08-20 03:49:16
0
al.anisa.ramadhan
Al anisa Ramadhan :
allah amrahamu mume wangu alikuwa mtu huruma na mapenzi nimetembea sehemu nyingi sana kwasababu yake na kila tunapotembea akiona kitu amwkipenda ana nunuwa allah akuhifadhi ktk kaburi lake ampe Kauli thabiti na kitabu chake kwa mkono wa kulia amuondolee adhabu ya kaburi adhabu madeni adhabu moto janatul naimu iwe pepo yk ewe mola wasamehe maiti wetu wote na uwa rehemu wote kwa jumla Aamin 🤲🤲🤲
2026-08-17 10:42:48
287
madini026
Majabali :
Tushajaribu lakini haturudi salama bila kukorofishana njiani😀
2026-08-18 12:53:51
37
keylihrh
keylihrah :
chivalry is dead skuiz💔
2026-08-18 13:06:24
0
najath8459
Zemenaj :
Hawafanyag hivyo wanatuambia tangulia ntakukuta😅😅
2026-08-17 06:34:33
104
nuratysaidnuratys
nuratysaidnuratys :
ngoja niisave akirudi baadae najifanya naisikiliza 🤣🤣🤣🤣
2026-08-17 17:32:25
72
ashaalibakari
Ashliy :
shekh walid mmoja tu
2026-08-17 04:28:46
124
user4567992931700
ummy swaleh,🥰🥰 :
yaani Toka tumeolewa siku alikuja kuoa ndio basi ila ndoa aisee
2026-08-16 15:19:38
57
salmaomary040
Salma Omary :
waambie shekhe kiukweli hawatutoi out kabisa.
2026-08-17 03:33:44
30
rashmii1203
Rashmii :
Afadhali utusaidie shekhe maana tumechoka kuwa walinzi wanyumba
2026-08-17 17:19:50
25
fsonny2010
Muthoni :
Yaani shehk mahaba lessons are one of the reasons I listen to your teachings and many things. Am Christian I listen alot to Many hotuba from different shehks. and it blesses my soul
2026-08-17 17:32:15
7
mustafakasembo
Mustafa Kasembo :
Mke wangu asiione hii nimekwisha😂😂😂
2026-08-17 16:48:40
12
qassim_14
Equalizer :
mtaa wenye kuku nishaujua, bado huyo wa kutembea nae! 😁
2026-08-18 04:20:27
14
saunaibrahimu
Sauna ibrahimu :
mm toka niolewe sijawahi kutolewa auty labda nijitoe mwenyewe huyu ndo mume wangu hana muda shekhe
2026-08-18 15:04:13
7
user7770849757275
Miss Boss 💝 ❤️ 💖 :
Wambieeee 😁😁
2026-08-18 14:18:44
0
jamila92832
jamila :
😂😂😂😂moja kwa moja namtumia wassap
2026-08-17 05:37:12
10
ricky3649
𝚏𝚊𝚢𝚖𝚒𝚗𝚊𝚑💕💖🖇️🖇️ :
uyu shekhe awe kijana tu aniowe😂😂😂
2026-08-17 15:07:41
5
aishahamis18
AISHA 📿🕋💞 :
my future husband popote ulipo umeisikia hii
2026-08-18 07:48:22
5
hadijafarjallah
gini bisau :
wa mama wenzangu..Takbirrrrrr
2026-08-17 06:08:19
7
asnath69stara
asnath69_Stara tunapendeza :
Hapo kwenye kutembea 🤝
2026-08-16 18:49:46
17
mamyafsati.asha.m
Mamyafsati Asha magawa :
mungu Akujaliee shekh ndomana tunakupenda
2026-08-16 15:45:54
15
fatma.wasonga
fatma wasonga :
mmh 20 years now najitoa out mwenyewe😂
2026-08-17 08:23:30
5
user8187823213284
HAJUN ❤user8187823213284 :
Hawezi kwa sababu ana mambo yke
2026-08-17 06:14:32
8
To see more videos from user @abdulatifuhamdani, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About