@manyjaytz: Jamani huyu Doumbia ana kitu bhna ana hatari sema tumuombee tu wanasimba 😁🙌🏽🙌🏽🙌🏽🔥🔥🔥🔥

𝕄𝔸ℕ𝕐 𝕁𝔸𝕐 🎧🎤
𝕄𝔸ℕ𝕐 𝕁𝔸𝕐 🎧🎤
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 13:17:41 GMT
141320
7248
147
61

Music

Download

Comments

yusuph.athumani0
Yusuph Athumani :
anajua
2026-08-16 14:00:23
18
royce.ally
Alison :
una uhakika hapo chama hafungi
2026-08-16 13:58:07
10
twalbuhaji
Twalbu :
uyu mwamba anajua sema simba atuna uvumilivu
2026-08-16 15:15:38
31
godvan_995
Godvan_99 :
free Simba sports club
2026-08-16 19:59:32
0
user54427093941093
RJ Binagi 👑 :
Ni mzuri sn akitokea pembeni bila mpira 😁.
2026-08-16 20:28:23
5
mrlige2
Mr LIGE :
Doumbia ni hatari akitokea pembeni bila mpira 😂
2026-08-16 15:07:43
15
fanuely474
Fanuely :
mashabiki wa simba mnatabu sana jamani
2026-08-16 15:08:35
2
apolinary.maguta
Apolinary Maguta :
ni mzur akikaa bench😂😂🙌
2026-08-16 16:00:40
3
raymondjulius827
my name is Kai🧢🩳 :
dah namuonea Sana huruma Doumbia wakat anaoupitia ni Mgumu sana , watu awataki kuelewa kuwa mchazaji hajapata ata Ile muunganiko na wenzie da😭😭.
2026-08-18 05:38:32
7
malackimalacki
Malack malack :
yaani Duombia anafurahisha kama wewe c Shabiki wa simba
2026-08-16 21:07:41
3
mrhekima1
Mr Hekima👣 :
Tunao angalia usiku tujuane😂
2026-08-16 18:47:57
3
aidansamwely310
ASHPUPY🐕👑 :
na pesa zipo benk
2026-08-16 19:36:13
3
fadhili.salum7
Fadhili Salum :
jamaa anakitu ila dah.. kumtetea inaitaji moyo
2026-08-16 19:53:22
1
allani197
Kng jenello🇿🇼 :
au syioooo leooo🙏
2026-08-16 15:05:41
1
josephonguku
J'r..Tozii :
angekuwa mtu anayejuwa ange tuliza mpira then anashuka chini kidogo then anafunga kama goli la mpanzu
2026-08-17 05:17:26
1
tadey.singaru21
@Tadei.🪾🦅 :
yupo sawa mpeni mda.! 👍💯💯💯💯💯💯💯💯💯
2026-08-16 18:21:16
3
wakanda_muslim
IS-HAKA_KHAMIS :
apo hmna kitu
2026-08-16 15:08:21
1
jeremiah.daniel82
jeremiah Daniel :
kwa kweli hapo siwezi kumlaumu
2026-08-17 08:01:59
1
user9725912705534
seche :
anajua sana
2026-08-16 14:48:06
1
damianus.lameck4
Damianus Tz :
Yuko sawa tunasubili bahati yake awapasue
2026-08-16 15:01:14
1
neema6120
Ney❤️ :
Mm nikikutana na video ya doumbia nachekag mwenyewe
2026-08-17 07:42:59
1
h.lawa
H.lawa :
anajua bn
2026-08-16 14:04:36
1
ezzemwankejela
Ezzy boytz :
Chama anafunga
2026-08-16 14:51:44
1
user9410526035140
Adaboy :
Mmmmh leo iiiiiyoooo
2026-08-16 13:54:52
2
stanslaus498
STANY OG 📸⭐✨⭐ :
doumbia ni mchezaji mzuri sema wana simba Tunapenda mambooo mazuri papo kwa pako tuwe na uvumilivu
2026-08-16 22:14:51
1
To see more videos from user @manyjaytz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About