@mondriss: mic u dady & mom💔#tanzania🇹🇿tiktook #daressalaam🇹🇿 #hurtlove💔 #zanzibartiktok #trendingvideo

Mr_handsome✅
Mr_handsome✅
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 13:42:20 GMT
176129
9204
987
72

Music

Download

Comments

rahma.nino379
Rahma Binti Gessa 🥰😊 :
juzi nimetoka kuulizwa ww ni Binti wa marehemu Fulani? umefanana na babaako mashaAllah 🥺😥 Yaa rabbih mrehemu babaang kipenz 🤲
2026-08-16 18:14:27
223
user7522008174055
sabiyam🦋❤️ :
pole my
2026-08-26 21:50:53
0
neemaibrahim230
neemaibrahim766 :
pole san best
2026-08-27 02:57:52
0
sarah.mashauri1
Sarah Mashauri :
pole san
2026-08-26 21:22:52
0
jeannkash
jeannkash :
Nimetoka kulia asa iv nakutana na hii post😭pole dear tupo weng tunapitia iyo hali😭
2026-08-16 17:33:49
80
zoujaht
zoujath 😜🤑 :
Now mm nisha zoea maana ndio utambulisho wangu kwa watu😔
2026-08-17 05:21:36
73
ree.bby3
Mom Clara🥰 :
Pole sana daah 🥹😢😢🥹 MUNGU nilindie wazazi wangu hii situation ni ngumu sana naogopa😭😭
2026-08-17 05:59:43
38
veelastborn
mrs.......🫀🫀🫀 :
au pale umekaa na kina mama alafu watoto zao waje wanaita mama daaaaah inakata sanaa jmn 😭😭😭😭😭
2026-08-16 20:24:28
22
khadijamussa91
khadijamussa91 :
huwaspendi ilandohivyo munguamuondolee adhabuya kabli babaangu😭😭😭😭
2026-08-17 05:34:17
9
cutenaa470
🦋🦋 Dream girl🌹🦋🦋 :
pole babaa🥺
2026-08-16 18:03:18
2
gody.vicent1
Gody Vicent :
Pole familia
2026-08-16 20:41:49
2
crisslilyqueen
Agness@gianni :
nimepona silii tena nashukuru mungu jina la mamaangu linakumbukwa bado
2026-08-17 05:37:51
11
nauhyoffical
@nauhy🦋 :
usilie sana jaman muombee dua mama na baba uko walipo inshallah 🙏 awapunguzie adhabu ya kabur
2026-08-16 14:35:31
6
fettyrishazi
Tuma 🇹🇿&🇨🇦 :
Pole san mimi nipo nao wote Ila nimejisikia kuumua sana 😭😭 kikubw maombi kaka maan bad wanaish moyon mwak 🤲😭
2026-08-19 01:56:21
1
leylaabdala6
leyla004 :
wallah inauma Sana 💔... pole mchumba
2026-08-17 05:17:31
1
defrinemgini
defrine :
wengine tuliambiwa watt wa marehem tunalawama😭😭ila
2026-08-16 19:38:57
1
ghostwizard3
4S么GHOST!亗 :
sisi wenyew niwamareem nimepoteza wote ila nishamshukuru mungu
2026-08-17 03:35:48
1
kautharsaleh2
Kauthar👁️ :
Wallah inaumiza hii bac tu 😭😭😭😭😭😭 tunajkaza
2026-08-19 12:04:33
1
angelcut125
ANGEL👼😇💫🍇🍓 :
jikaz bc my dear ina😢 san najua unapitia wakat mgum et 😭😭
2026-08-19 14:21:57
1
momshaah
Muu gał🧕🦋🤪 :
Wallah inauma sana 😭😭 sanaaaa yaan mimi naliaga hapo hapo jmn
2026-08-17 04:44:26
1
fety5151
fety :
pole kipenz innallah maswaabirine
2026-08-16 20:02:29
1
yash.diggy
🦋عائشة❤️ :
maskiin dah pole
2026-08-17 04:05:47
4
user38617218152097
Mama O'Neal🥰 :
We acha tuu mdogo wangu haupo peke yako upo wewe na mwanangu😭😭😭msiba bado mbichi wa baba yake naumia watu wanasema huyu ni mtoto wa marehem naumia mwanangu analialia tuu jamani pole mdogo wangu hali yako naiyona kwa mwanangu
2026-08-16 19:16:36
1
khalifa_said8
Khalifa :
Acha tu sio poa inaumiza kinoma💔😭
2026-08-20 10:16:25
1
mary342190
mariam :
p0re.kipenzichangu
2026-08-16 17:28:15
1
To see more videos from user @mondriss, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About