@mzeewamastory: Kama wewe ni fundi ujenzi, fundi rangi wa nyumba au mhandisi, hii video inakuhusu. Tazama mpaka mwisho.#FYP #Viral #TikTok #ForYou #trending

mzee_wa_mastory
mzee_wa_mastory
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 14:03:48 GMT
129378
3054
164
471

Music

Download

Comments

yuzoboy002
Yuzoboy002 :
kwakipimo icho hatoki mtu mna injinia hkamati bati
2026-08-17 06:30:13
70
damasjoseph561
Damasjnta58 :
Unajua ukupiga plaster baada ya kufuta kabisa na kibao unachukua rati unabuluza ukuta mzima ya kulala na kusimama baada ya apo usipitishe tena kibao acha ivo ivo afu aje na kitaa chake apo hanikamati hata akija usiku hataona makunyanzi ukutani kama huamini nipe kazi na hela nitayotaka unipe ivo ivo
2026-08-17 12:05:49
14
mwanaasha.juma1
mwanaa❤️😍 :
sirudiii kujengee 😁😂 makosaa umetafuta kwa tochiii kwelii🙌🙌🙌😭nehiiii
2026-08-17 19:24:23
23
skyarts_tz
skyarts :
kwahiyo itabomolewa ianze upya au?
2026-08-17 18:36:48
3
sebastianmasaka
Sebastian Masaka :
ikikaa vzr kwa macho hakuna shida, watumiaji hatumii taa
2026-08-17 18:40:56
5
iamkareem78
kareem 6th :
hii imezidi sasa
2026-08-17 15:58:23
1
www.femba.06.tz
🎓Femba🎓 :
hapo hata mm nakubali kurudisha hela yaishe tu
2026-08-17 07:22:19
4
captain.sam523
Captain sam :
Usitudharau mzee mbona ukitumia taaa yakawaida unaona vizuri tuu labda ww ndio umechelewa kujua mzeee
2026-08-18 05:28:38
4
zuberialexander60
Zube Lee :
ilimradi nyumba imekamilika
2026-08-17 06:03:04
4
juma51685
juma :
iliniludi kazini anitafutie tochi ya kujengea makosa yanapimwa na rada kweli
2026-08-18 03:16:01
1
berrydrago
Berrydrago :
hio haisaidii chochote kabisa
2026-08-17 09:06:38
2
ibrahimamossy
ibrahimamossy :
nipe kazi hiyo ya finishing nikufanyie nikimaliza njoo na hicho kipimo chako ukiona hyo kasoro usinilipe,shida mabosi waliowengi huwa hawaangalii quarity wanachotaka wao mafundu wa mserereko
2026-08-18 14:21:49
0
capricongirl255
capricongirl255 :
Sasa hiyo migongo watu wata anguka au wana ishi
2026-08-17 18:11:58
3
omarysosha
Omary Sosha (Mr maiki) :
Yaan kosa ulitafute kwa Toch alafu uniambie norudie kujenga aisee tutapigana mpaka asubuh🤣🤣
2026-08-17 22:24:16
1
sureboynasir
Sureboy Nassir :
kwani mnaishi milele
2026-08-17 10:20:56
0
ishaasulesh
Ishaasulesh :
boraa nyumba jmani😂😂
2026-08-17 10:00:22
0
dr_hamirojo1
سكوفيل :
aya shida iko wap sasa ,kwamba hutalala
2026-08-17 12:17:18
0
yusuphmpenja
engineer :
ikisha nyooka sana inasaidia nini
2026-08-17 14:16:35
1
saadimchume
saadimchume :
tatizo mabosi mnapenda vitu Bei ya mteremko na pia wapo ambao Kila mtu na hali yake ya kipato ivo usitake kufananisha nyumba ya tajiri na kayumba
2026-08-17 14:19:07
2
fadhilismile1
fadhilismile1 :
sasa shida ikowapi mbona nyumba uswailini zinaufa kabisa na tunaishi sembuse kupinda plasta
2026-08-17 14:00:24
2
benardboaz
Benard Boaz :
Kwani watu wanaishi au hawaishi?
2026-08-17 10:01:20
2
wizzle_ngabana
John Ngabana :
ndio maana ata gari inapgwa puti....mpk ina kua smooth....
2026-08-17 06:57:07
5
yusuphm
Dr 유수프 yusuph :
hhh
2026-08-16 22:20:55
1
jy4744
jy4 :
Kazini kwa mafudi kunakazi
2026-08-17 08:37:05
1
qlb631
Bongo connection :
Kwan anajenga mtu au machine
2026-08-17 08:29:27
1
To see more videos from user @mzeewamastory, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About