@footballstories_africa: Alikuja kimya kimya, akaondoka kama LEGEND 🖤💛 Kwaheri Okello, asante kwa mabao 14 na kumbukumbu za milele! #fyp #foryoupage #tanzaniatiktok #sportstiktok #yangasc @ALLAN OKELLO
Yanga ni familia yake naamin ipo siku atarud nyumbani inshallah
2026-08-17 23:19:24
0
leticia93 :
inauma sana tena sana2
2026-08-17 16:32:51
0
msmbissa :
kwakweliii
2026-08-17 17:17:50
0
saitoti mollel :
Mungu na🥰🥰🥰🥰🥰 awe
2026-08-17 11:55:12
0
jazzy💕💦 :
ni mda mchache tu ila alifanya makubwa mic u so much star boy okello 💚💛💚
2026-08-20 19:05:30
1
stellah ❤️🇹🇿 :
mi nahamani morocco siwez kuvumilia haya maumivu😭
2026-08-17 07:56:51
2
🦋ishacute💕 :
Anajua mpira ndo maan ametakiw kwengn🥰 ni jambo jema
2026-08-18 03:14:15
2
mis-lina💦 :
nakumbuka goli lake la mwanza alifunga la penati alipewa Dube apige ila akamuachia Okello apige na ndio balaka ya kufunga ikaanzia hapo tutakukumbuka daima Star boy Mungu akuongozee huko 🤲
2026-08-17 19:51:49
2
Zulpha Creat :
Nakupenda sanaah Allan okello Allah tu ndyo ajuaye
2026-08-20 19:37:45
3
Nseko jr 10. :
Yaan
2026-08-17 04:15:38
0
fatumasaidi131😘😘😘😘😘 :
jamani rais wa yanga fanyeni kitu mturudishie tena allan wetu star boy wetu bado tunampenda xna allan okello wetu
2026-08-17 09:25:35
1
To see more videos from user @footballstories_africa, please go to the Tikwm
homepage.