@barakazetu.app: Katikati ya majaribu makali na mawimbi ya maisha, sala yetu ni moja: "Yesu nishike mkono nisizame." Wimbo huu wa zamani wa kuabudu wa "Nishike Mkono" kutoka kwa mtumishi Fanuel Sedekia ni ukumbusho kuwa Mungu anabaki kuwa Mungu na atatuvusha salama. ๐ญ Dondosha 'Amina' au ombi lako kwenye comments tuungane kwa maombi! ๐ ๐ ๐ฒ Pakua App ya BarakaZetu (Google Play Store & App Store) kupata nyimbo bora za injili, kwaya, na mafundisho ya kiroho! #fyp #fypใท #viral #fanuelsedekia #nishikemkono #nyimbozainjili #swahiligospel #barakazetu #maombiyaleo #worshipsong #tiktoktanzania