Baba anarudi nyumban Hoi ila Heshima anayoipokea kwa Kristo ni zaidi ya ile tunaipokea sisi vijana Huyu mzee ataona vizazi vyake mpaka afurahi mwenyew Yesu aendelee kumtunza sana
2026-08-16 17:35:41
11
ruthwemaemmanuely :
Bora baba angu ucheze Kwa Mungu wenzio wanacheza Bar Mungu akutunze
2026-08-17 10:59:18
4
Catherine :
Mzee sanga 😀🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2026-08-16 14:28:15
7
Angela charles :
Aweeee kumbe!vibe hakuna kuzeeka..
2026-08-17 06:57:38
2
Samwel Jenes :
kama najiona vile na mm nikiwa 60 years kwa Yesu ukoo 😅.. Heshima kwako mzee wangu 🙌