daaaah ningefundiswa na huyu mwalimu sijui kama ningekuwa wa mwisho kwenye hesab
2026-08-17 12:37:39
1
Emma kanuti👩🎓 :
Mbona sisi hatukufundishwa haya🤭
2026-08-19 06:02:49
0
alphopriner :
adiraha jaman
2026-08-17 08:49:07
0
akram :
gawanyasehemu mchanganyiko kwa sehemu mchanganyiko
2026-08-17 12:57:47
0
Ezelina :
mbona mimi sikufundishwa kama hivyo? au ndo maana nilifeli?😂😂
2026-08-18 13:21:31
0
user9353039570848 :
mwslim nakuelewa xn
2026-08-17 04:59:38
0
yussuf6889 :
nirahisi sana kwa sasaiv lakini kipindi hicho zilikua ngumu sana mwimu wasingwa
2026-08-18 12:56:30
0
user8062484614993 :
npe njia yakumuelekeza maswali ya vibox vilivyo wazi ndug yangu
2026-08-17 15:38:25
0
Withs :
mzee ni njia rahis kwel ila kuna namba hazigawanyiki wape njia ya kugeuza denominator na numerator na kubadili alama ya kuzidisha ila hapo utawakaanga wakikosa za kugawanyika moja kwa moja
2026-08-16 15:32:47
0
Jackson orobon :
nimekukubali MWalim🙏🙏🙏🙏
2026-08-17 20:10:32
0
habinty :
njia rahisi ya kugawanya kawaida sir
2026-08-17 08:48:48
0
joeboy0880 :
uchawii upo ana uchawi Kwa mwanafunz ni fimbo sijawaii Elewa izi Hesabu Leo naona chap ti
2026-08-18 14:55:56
0
Emma kanuti👩🎓 :
Au walimu wetu walikula kiapo watufelishe tu😏
2026-08-19 06:03:56
0
To see more videos from user @alexmwamtobe, please go to the Tikwm
homepage.