@mansamussaxivcom: Biashara 10 Zinazolipa Tanzania…👇🏽 Kuna “uhalifu” mkubwa unaendelea Tanzania…😅 Haiwezekani nchi ina fursa nyingi hivi, halafu kila siku watu wanasema hakuna biashara za kufanya, hakuna opportunities na hakuna namna ya kutengeneza pesa. Tatizo ni kwamba wengi wakisikia neno biashara, akili inaenda moja kwa moja kwenye boutique, restaurant, salon, kuuza simu au biashara nyingine ambazo zinaonekana vizuri kwenye Instagram. Lakini ukweli ni huu: Biashara yenye show off nyingi sio lazima ndiyo yenye pesa nyingi. Mara nyingi pesa iko kwenye vitu ambavyo watu wengine wanaona ni vidogo, boring au havina status. Kusafisha ofisi. Kufua mashuka ya Airbnb na hotels. Maintenance ya apartments. Kusupply bidhaa kwenye offices. Bookkeeping. Content kwa biashara ndogo. Hizi sio biashara ambazo kila mtu atakupongeza ukisema umeanza. Lakini kama zinatatua tatizo ambalo mteja analo kila wiki au kila mwezi, hapo ndipo opportunity kubwa inaweza kuwa. Kwa mfano, cleaning business inaweza kuonekana simple sana. Lakini ukipata offices 5 zinazokulipa kila mwezi, hauuzi tena “usafi” tu unaanza kujenga recurring revenue. Na laundry nayo sio lazima uwe unasubiri mtu mmoja aje na mashati yake manne. 😂 Unaweza kulenga salons, spas, gyms, restaurants, apartments, guest houses na Airbnb ambazo zinahitaji towels, sheets na uniforms zisafishwe tena na tena. Hapo ndipo mchezo unabadilika. Ujumbe wangu ni mmoja: Usitafute tu biashara inayopendeza. Tafuta tatizo ambalo watu wako tayari kulipia ili litatuliwe. Na kama changamoto yako ni kuona opportunities za kutengeneza pesa ambazo wengine wanazipita kila siku, nimeandika kitabu kinaitwa “Siri 69 za Kupata Pesa.” Ndani yake nimeweka ideas na principles zitakazokusaidia kuanza kuangalia pesa na opportunities kwa jicho tofauti. Link ipo kwenye bio yangu …chukua copy yako. 📖🔥 Wengine tayari wameshasanuka na wanafanya hizi biashara lowkey kabisa. Walio na njaa na pesa hii biashara wanaikamia fresh tu… Aibu utaona wewe. 😂🔥 Full video ipo YouTube: “Biashara 10 Zinazolipa Tanzania… Unaweza Kuanza Bila Pesa!” #BiasharaTanzania #Ujasiriamali #Entrepreneurship #BusinessTanzania #TanzaniaBusiness
Mussa Baba’s
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 15:04:26 GMT
Music
Download
Comments
troll..007 :
skip hadi 1:50
2026-08-17 12:56:04
22
yyy :
ukitaka ufilisike haraka ingia kwenye biashara ya usafi 😅😅
2026-08-17 00:58:58
15
Ahily Prime :
ukimaliza waonyeshe na mtaji(generally include tools) na connections wanatoa wap
2026-08-16 17:08:12
12
KITONGA Gx :
hakuna kazi nyepesi duniani kama kushauri😂
2026-08-18 06:25:50
8
Issa Abdallah :
pesa nyingi zpo kwenye wizi na utapeli
2026-08-18 08:26:44
6
Suleiman salim :
Hopeless
2026-08-20 20:56:27
0
LGM PRO :
maneno meeengi facts zero
2026-08-18 12:36:18
0
Mr Hendry😎🦅 :
maneno mengi mkuu nenda kwenye point
2026-08-17 02:24:43
8
mon_cheery :
We bhn nenda kwneye point
2026-08-18 11:53:08
2
:
Nice content lakini 70% unaelezea sijui vitu gani 20-30% ndo unaelezea hizo biashara 😂😂😂
2026-08-18 18:58:44
4
Mte :
Hakuna kisichohitaji pesa
2026-08-17 03:00:28
1
sAbRy :
wewe unafanya ipi??
2026-08-17 15:41:55
2
RILO :
wewe umefanya .. saiv upo wap braza 😀😀🙌
2026-08-18 11:42:32
3
Nicxon :
wape kaz watu uonee😂
2026-08-16 21:04:42
6
mwanshinga 5 :
hizi ni biashara au Huduma ???
hawezi kuanza biashara bila mtaji labda uwe Dalali.
2026-08-17 06:53:06
0
We Travel Tanzania 🇹🇿 :
Intro ndefu kuliko burj khalifa 😅
2026-08-19 05:54:53
0
vibe_with_nerah❤️ :
unaongea sana, naenda straight kwenye point bro
2026-08-18 09:55:17
1
My Mother 👩 and me call ☎️🇹✔ :
sasa tangiya tanzania iundwe watu izo kazi wanafanya kinacho mata serikali wanamchango gani
2026-08-17 16:14:21
1
crheadboystrd07 :
Ongea haraka MB kbla hazjaisha
2026-08-16 16:12:59
3
Abel :
akili mingiiii😁😁
2026-08-18 17:41:15
0
Yenntz_Updates..📻🎙️💥 :
Sawww
2026-08-20 18:28:38
0
takeshi archipelago :
Dah thatha itakuwaje
2026-08-20 12:23:45
0
Thomito :
mbona ametaja moja au sijaskia vizuri
2026-08-21 22:34:06
0
kimjr :
unazunguka sana kaka
2026-08-19 22:10:39
0
To see more videos from user @mansamussaxivcom, please go to the Tikwm
homepage.