@itsdefiner: HAUJALI VISUALIZER IS OUT NOW #haujali #definertzhaujali #heartbreaksong #makemefamous #bongofleva

Definer_tz
Definer_tz
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 15:19:18 GMT
68048
9208
286
97

Music

Download

Comments

zakalia004
Zakalia kindole :
Bro hata ambao wako juu kwa Sasa kwenye hii industry walianza hivi hivi wengine umewapita kabisa, walianza wakiwa hawana vocal kali kama zako lakini saizi ndo wameteka soko, so MUNGU ni mwema kaka zidi kupambana mungu hamwachi mja wake, we can't force things to happen but it's matter of time bro. Appreciate more🤝🤝 unajua sana🔥🔥🔥
2026-08-16 15:56:22
72
agnessnicko
Charity 🥰💞 :
Mbn aupo audio mark
2026-08-25 11:15:35
1
ibrah282
Ibrah07 :
Hii ndo ile tnakula ugari na pcha ya samaki
2026-08-18 13:36:54
9
wynez_de.67
wynez_de.67 :
jst heart feeling 4rm kenya ....🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💥💥💥🙏
2026-08-16 15:47:27
3
directormaselei5q
DM BONGO MOVIE :
Mungu mwema, juhudi zako ndio ujazo wa mafanikio yako,big up my brother
2026-08-17 07:32:51
16
sarahbunzali
flexible SarafinaTZ :
Wale ambao tunamuona kwa mara ya kwanza 🥰
2026-08-19 07:24:08
3
.platruger.og
Platruger OG :
unajua san mwamba ongeza bidii
2026-08-17 21:31:18
1
k.music24
k music wa 24 :
nouma mkal
2026-08-19 15:28:27
1
user59170243687075
@Alno. :
Bro naomba mungu akutangulie na kipaji chako kionekane dunia nzima.
2026-08-18 06:33:38
5
nedlog_vinemax
Nedlog_tips :
The real feeling😔💔💔
2026-08-17 14:06:41
2
user7665524627712
Paul July :
oya saruh akuwezi kabisa kaka
2026-08-23 20:14:48
1
jamelyzdady_sudu
sedo zwane Themba mshishi :
utafika kaka ali Kwame kaposti ili song💯
2026-08-16 19:53:46
2
fukafukabrandy
fukafukabrandy :
hiii ngoma sichoki kuskilizaa dem wangu kazingua wadau daa😪😪
2026-08-25 18:34:36
1
noblekida
Noble ✪ :
"siwezi ficha kikohozi, nikibanja watajua." Bro ana mistari konki🫡🫡🙌🙌
2026-08-18 12:18:32
4
user7596239149857
user7596239149857 :
sasa huyu anataka anilize tena
2026-08-19 18:39:17
1
ir.inno
ir inno :
yo brow courage
2026-08-17 08:12:05
1
rasviwanja
rasviwanja :
playlist yangu pendwa dogo weka ngoma
2026-08-17 16:31:32
1
joshua_starboy
joshuamichael :
Usichoke mwanngu we unajua sana sanaaaaaa muda tu utafika aiseee fundi sana wewe
2026-08-16 21:10:04
1
mohanbackup
King mohan :
tumtagi konde humu naiskia verse yake
2026-08-18 10:39:55
4
evensound
💀👽Even Sound🇬🇭🇱🇷 :
@definer_tz!!Mtu mbaya💯Sikupingi kaka apa mapenzi tu mpaka yatu ue👊💥
2026-08-16 21:10:39
2
leopold.waiter
kitochi_🔦 :
🔥🔥🔥🔥
2026-08-17 12:09:29
2
f.papi1
papi :
definer. https://vt.tiktok.com/ZSVjwNTAj/
2026-08-17 10:07:31
1
josd_platvox
Josd_Platvox :
niache na nipo sawa ni nyimbo zitakazoishi
2026-08-17 08:14:12
1
f.papi1
papi :
nyimbo zako zinanikosha sana. 🙏🙏 https://vt.tiktok.com/ZSVjwNTAj/
2026-08-17 10:09:24
1
user4534387112192
Thiago Cantara :
unajua sana mwanangu usikate tamaa wakati wa mungu utafika nakuona kwenye namba moja kwenye bongo fervour
2026-08-16 20:41:28
1
To see more videos from user @itsdefiner, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About