simba walipeleka ligi yetu kua bora baran africa lakin kwaa sasa kwa kua simba mbovu na ligi yetu inakua mbovu,so tunaona ligi ya tanzania ni simba,ukiibeza simba basi unaporomosha ligi ya nbc uo ndo ukweli
2026-08-17 09:12:11
22
NELSON PETER :
Yanga ndo chanzo cha ligi kushuka kiubora
2026-08-29 15:33:00
1
Hamis Masud :
Ushindi wa mix by yas
2026-09-09 07:32:24
1
Jcobra :
🤣🤣🤣🤣🤣🤣simba yetu daima viongozi wanatufelisha
2026-08-17 07:54:19
10
Geofrey Ackim :
umesahau ilikuwa club no 6 Africa saizi ni namba 11 na hiyo nyingine ilikuwa ya 70 na kitu saizi ni ya 12
👍👍👍
2026-08-27 18:43:51
3
castorchilyenga :
kweli baba ✍️
2026-08-27 06:58:57
1
Michael Chedi :
fact
2026-08-27 19:16:54
1
Eng.Anselmjr :
Hapo kitenge nakukubali sana umeongea fact kabisaa
2026-08-21 21:52:11
5
Robert Kato :
Kuna kaukweli aisee
2026-08-27 23:07:58
3
Bone Retainer :
ssf kabisa
2026-08-29 16:59:24
1
el shaddai my hero :
atakayebisha aje na facts
2026-08-17 07:29:46
4
Joseph hosseni choa :
ccm ndo inawamaliza watu wa siasa wanaingia kwenye mpira asa unafikilia nitatokea nn
2026-08-29 20:00:04
2
Peter Jm Shekigenda :
Ukwel Bila Kupingwa.
2026-08-31 19:24:19
1
Dplanet Dotto :
kwa heshima mkuu simba 4reva....
2026-08-27 13:27:42
4
Jackson msalanji :
aise,ila kweliiiii ukiichunguza kwa makiniiiiiii
2026-08-30 17:07:04
1
Business connection :
Wenye kujua mpira tu watakuelewa
2026-08-27 13:25:49
5
Mr no one :
fact
2026-08-27 18:29:30
1
Matika Ndekule5 :
Kuna muda saa mbovu usema ukweli Leo jamaaa kaweka ushabiki pembeni ameamua kuwa mkweli
2026-09-09 08:14:25
1
centurydeunique :
wakata Gogo FC 😁
2026-08-17 08:41:07
2
Ally Waziri :
kabisa kitenge
2026-08-27 09:55:08
1
janethkivuyo1 :
Leo umekua🥰
2026-08-18 18:40:21
1
hamza-19 :
real
2026-08-17 09:28:43
1
Abdulkarim kalama :
Tatizo letu sio uongozi tatizo letu tunatembeza bahasha sana ndy maana atufanyi vzr kwenye timu Bora Africa
2026-08-29 16:16:43
1
Nusrat Dudy :
♥️♥️♥️♥️♥️♥️💯💯💯💯💯anaebisha mchawiiii
2026-08-26 13:59:18
2
To see more videos from user @bagerajackson, please go to the Tikwm
homepage.