Yaani hata wanawake tupo hivyohivyo📌📌💯hatuwez kuvumilia ujinga and too much drama🚮
2026-10-01 12:23:34
2
Rommy346r :
Dah nlishaharib ndy nakutana na hili video
2026-08-17 10:42:44
4
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
it can go even beyond that age range
2026-08-17 21:10:54
1
SINYORITA BRAND :
comment section food point 😂😂😂
2026-08-17 21:42:58
1
Marichuy 💞 :
hata wanawake wenye akili timamu tuko hivyo hivyo...tuna mahitaji hayo hayo
2026-08-17 08:28:28
17
AMZA🇹🇿👸🔥 :
Naitaji iyo ya lower body na running pad
2026-08-19 15:13:46
0
careen :
10/10 truth speaking thank you for share
2026-08-17 15:14:28
2
Sagittarius Queen♐️ :
Ifike mahali mjue na sisi tunajijenga pia tunataka the same understanding .
2026-08-17 14:38:27
17
Lady D :
Hata wanawake wana zero tolerance na drama, unafikiri kuna mtu anapenda drama 😏
2026-08-25 10:27:34
6
Ri-h :
well said brother
2026-08-19 04:23:10
1
Queen J🌷 :
Kwani ukimpoteza unakufa😅😂 bana akwende akienda
2026-09-01 08:32:59
1
lilyn :
Dodoma lini mnada
2026-08-17 15:59:07
2
Ms fey :
Unazunguka sana 🥹
2026-08-17 16:03:17
2
halayma33 :
ongea haraka nikajijenge mimi na usitufokee
2026-08-23 20:00:26
0
Matilda Simon :
gar za watot bei gn
2026-08-18 06:39:44
0
chimwe :
aaaah mi nina drama saana yaani ila ye hujikalia kimya mwisho wa siku anarudi tunashaurianaa weeeee yanaisha ila nampa muda mnoo kwa wiki namwona mala moja na it's okay asiponitafuta mi namtafuta shwaaaaa
2026-08-17 13:51:41
3
255_propertiestz estate agent. :
Nilileta drama .. aliponiita kwa jina langu kwa msg nikajua Ehee saa na wakati umefika wa kuachwa .. nikatulia tu.. maana toka nimjue hajawahi niita kwa simu jina langu 😂
2026-08-24 19:54:58
2
AMZA🇹🇿👸🔥 :
Uko wap me nije kuchagua jaman
2026-08-19 15:08:58
0
Daniela Dismasi :
ongeleeni upande wenu sasa me iki kipind niko bize yy bize ugomv watu hawafanan
2026-08-17 09:13:17
2
KANEJA MANGARU :
Mwanamke mwenye akili timamu anae hitaji mahitaji hayo anapaswa kuchagua kuwa na mwanaume au kuwa na mahitaji yake hayo ambayo mwanaume wake hayumo.
2026-08-29 16:18:43
0
veen :
preach bro. preach loudly...
2026-10-03 07:01:26
1
queen esther :
Mnada zanzibar lini kaka
2026-08-18 03:24:58
0
lightness :
unatuma mikoani mzigo ukinunuliwa kwenye mnada
2026-08-17 09:28:02
1
magnet :
hizo pikipiki sh ngapi?
2026-08-17 15:02:10
1
Mamu kimodo ♎ :
Nadhan iyo ipo upande wote ata WANAWAKE kuanzia 30 hawapendi drama wala maujinga ujinga yoyote,hii kwa wenye kujitambua tu 📌🧠
2026-08-17 09:27:49
8
To see more videos from user @minada_ya_beichee, please go to the Tikwm
homepage.