@kaisikiactress73: Jack na Rose wa Bukoba sasa🤣🤣🤣🤣🤣🤣Titanic #kenya #kenyantiktok🇰🇪 #trending #usa #uk

#KAISIKI
#KAISIKI
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 17:10:48 GMT
217188
17686
1606
3563

Music

Download

Comments

miss.ley2
🦋shirley 🫧🎀 :
Nyerere njoo uone watu wako uliowapambania uhuru 😂😂😂
2026-08-16 20:42:55
713
shaksiboy
shaksiboy :
Tangu corona itokee akili zetu hazijakaa sawa😂😂🙌🙌
2026-08-17 05:19:47
224
mamy.emmy3
Mrs Ramzy :
😂😂
2026-08-17 05:42:53
85
eliasi96mgale
eliasi96mgle :
mungu awabariki wote mnotufanya tunacheka haijalishi tunamatatizo kiasi gan lakin kupitia video zenu mtandaoni aise mungu awape hitaji la mioyo yenu 🤣🤣
2026-08-18 08:27:13
101
brown.sugar5233
Braun sugar :
Hii nchi Toka raisi kajichagua mwenyewe bado aijakaa sawa
2026-08-19 13:06:21
39
user7436584523690
eddiy boy :
asee mmetish
2026-08-22 14:57:28
0
athuman.chakwawa
Athuman Chakwawa :
wabongooo bhana🤣🤣🤣🤣
2026-08-22 15:29:28
0
jidahmlile
Majid Mlile :
nani mwingine aliecheka kama mm
2026-08-17 14:49:37
54
marryjustine692
marryjustine692 :
hamuwez mkanichekesha hiv halaf niwanyime like yangu
2026-08-16 17:47:26
169
tasmack_munisi
塔斯马克·穆尼西 来自中国 🇨🇳 :
nani mwingine kaona hii 😅😅😅
2026-08-17 04:30:13
71
yana_beauty_academy
YANA BEAUTY SALON AND ACADEMY :
toka humo haraka Mamba wanakuja😂
2026-08-17 04:55:05
63
missboss134
missboss🌹 :
rose na jack wa kutop up😂😂😂
2026-08-16 19:30:46
36
gobe_product
Only Me🥰 :
😂😂😂😂 titanic ya bei ya jioni hii
2026-08-20 11:46:58
5
mariamu321
mariamu321 :
Ila kaisiki hakuna linalokushinda😂😂😂😂
2026-08-16 18:11:32
58
judiemsuya
Judi£ MsUy@🕊️ :
Mtakuja kutuuwa mbavu jamani 😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-17 05:27:30
10
anko_di
🇧 🇮 🇳   🇸 🇺 🇱 🇪 🇸 🇭 :
Tanzania ukihama labda kwa shida zako nyingine 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 bongo sihami🤣
2026-08-17 08:56:53
9
sakena614
Sakena :
ila rose eti anaomba elf50 duh😁😁😁😅😅😅
2026-08-16 18:30:53
63
diana.daudi50
Deequeen892 :
nimecheka mpka nimefariki 😂
2026-08-17 08:01:58
16
rukh826
wardi🌹🌹🌹🥀⚘️⚘️🌸🌺 :
hii kaz ingekua mimi ningecheka mpka nikalia 😂😂😂😂😂
2026-08-17 04:48:51
16
jennsy255
its asii :
Tinkakibonaga eki😂😂😂 yoooh
2026-08-17 09:18:16
6
user8304460921415
grace :
najua haiwahusu Leo ni birthday ya mwanangu🎂🍴
2026-08-17 08:22:23
12
To see more videos from user @kaisikiactress73, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About