@hussein.mwazi: 🔥🎶 DIAMOND PLATNUMZ – “ALHAMDULILLAHI” 🎶🔥 Diamond Platnumz ameonekana na Baba Levo wakicheza kionjo cha ngoma yake mpya “Alhamdulillahi” 😍🔥 Kionjo tu kimeanza kuleta presha! 👀🔥 Unategemea nini kutoka kwenye ngoma hii? #DiamondPlatnumz #Alhamdulillahi #BabaLevo #BongoFleva #Wasafi