Nina Toyota ractis ina changamoto ya kutetemeka sana bila hata kuwasha Ac, mshale wa rpm inacheza nimeshabadilisha fuel pump, parkplug na coil zake nimebadilisha, air cleaner nimechange, nozzel pia ziko sawa mounting iko sawa dashboard haiwashi taa yoyotee
2026-08-16 19:09:39
0
Raj :
Gari kutetemeka unapokuwa unaongeza spidi asa kutoka kwenye 30 mpk 40 shida ni nini
2026-08-17 04:46:31
2
Shalua Mkumbo :
Nimekuwa nikikufuatilia sana, na nimegundua wewe ni fundi kweli. Naomba location na ikiwezekana namba yako ya simu nililete gari langu
2026-08-17 14:52:15
2
Who am I ? (Feizam) :
naomba kujua gari yangu inapokua inatembea ac inafanya kazi vizuri ila nikiwa nimesimama baada ya dakika kadhaa ac inakata kunakua tu una upepo jee ni nini shida
2026-08-16 18:06:19
1
d-brokery💥 :
vipi km haitoi baridi,inatoa joto tu
2026-08-16 18:09:20
0
Adv_Lukwaro :
Toyota premio F, 2004/2006
2026-08-16 21:21:32
1
mohdkadagai :
Niko na vitz inatetemeka nikiwasha light,ac and kupandisha kioo cha mlangoo
Aise mdogo wangu utafika mbali sana. Hapa bongo mafundi wengi hawawezi kutoa elimu ya muhimu kama hii bure huwa wanaihisi hawataoata kazi la kutotaka wengine wajue wabaki wao tu.Nichk inb tuwe na tawi pwani
2026-08-17 15:38:05
1
Wine Thimoth Mtui :
Kuna madhara ist ikatokeaa oil alieweka imezidi kipimo
2026-08-17 05:41:36
0
Mrs mdegela :
Ist inasumbua ac naomba namba
2026-10-08 05:46:28
0
future generation :
throta bodi
spark plug or coil
engine mount or gear boxer mount
compressor yenyewe
mfumo wa ido Rpm yenyewe kuwa na shida.
2026-08-20 00:22:50
0
fadhilikalenga :
Nakukubari sana kaka mm ni shabiki Yako wa ukwer
2026-09-10 08:32:51
0
Bonifase Kitomari :
karibu kinondoni B tukuchekie gari yako
2026-08-21 04:18:36
0
Mama5_store :
Yan huo ndo ugonjwa mkubwa wa passo nliwahi kuwa nayo ilinitesa sana🙌
Mimi gari yangu spacio AC upande wa joto vent mbili za kulia zinatoa joto kidogo sana tofauti na vent za kushito. Shida nini
2026-08-17 05:16:00
0
Cyncirmbuzi :
gar yangu alfard inatetemeka Sana
2026-10-12 11:57:01
0
Mlangila Samoray :
Gari yangu ni ist old model inatetemeka pindi tu ukiwa kwenye foleni ukikanyaga break inatetemeka ila ikitembea haitetemeki ukiwa kwenye jam tu ukikanyaga break inatetemeka ukiweka kwenye gear ya parking inatulia kabsa ila usipoweka parking ukakanyaga break kwenye foleni lazm itetemeke sana upande wa stering
2026-10-13 11:16:28
0
kunta+ :
starlet
2026-08-18 22:31:53
0
saldadoo :
Broo gari yangu inatoa moshi wa kijivu na mweupe nikikanyaga mafuta wakati nimeeka kwenye n ila nikiendesha hautoki una nishauri vip
2026-08-18 07:12:32
0
ak and sons :
mm gari yangu nikiwasha inatetemeka tatizo ni nini
2026-08-18 06:09:10
0
iamsheggy :
huwezi toa elimu ya bure halafu nisikufollow 👏👏👏 ubarikiwe pia
2026-08-18 05:28:53
0
❣️muu...🌊🧸 :
outlander huwa inatetemeka na inazima pale unapo simama kwenye mataa
2026-08-17 08:09:09
0
To see more videos from user @khalidimagari, please go to the Tikwm
homepage.