RATIBA YAKO INAFANANA NA YA MKE WANGU NA NI MJAMZITO PIA NIHURUMIENI😭🙌
2026-08-17 14:55:55
46
maryam omary :
tulio kuwa hatuna ndoa tunaangalia tu hata chakusema hatuna
2026-08-17 08:55:24
46
Madam Huruma 🎖️💎✨ :
😂😂😂😂
ila kwa kina ndoa 😂
2026-08-17 03:26:33
33
🔐==NAMAYALA ==🔐 :
me nikajuwa tunagomban bahat mbaya kumbe ni ratiba inapagwa majamen
2026-08-17 11:28:17
35
Ester 🌼 :
😂😂🤣😂 nachoka mm
2026-08-17 18:55:30
0
user63774968252332 :
ila mwanetu una uhakika sio lastborn mwenzetu wewe maana pigo zako ni zilezile 🤣🤣🤣
2026-08-17 05:28:29
33
Marth@🥰 :
usisahau kurudisha ugomvi wa zamani uanze upya🤣
2026-08-17 16:15:08
18
🌿Awetu mgomba🌹 :
kila la kheri mwanetu🤣🤣🤣🤣
2026-08-16 18:48:00
14
prise :
naombeni mniambie jinsi ya kukopa halotel
2026-08-17 13:40:58
7
Vanessa John :
kuna mm ambae sijui kusoma naona mapicha picha tu
2026-08-17 06:59:21
9
Fatness chaula :
😂😂😂 me nalia akiniuliza nakumbushia makosa ya nyuma
2026-08-17 06:09:13
15
Tina Tina :
kumbe tupo wengi wenye hatupend aman ila kuna muda inacosti hamuwez amini nipo kwa bas nmepewa likizo kachoka gubu langu ngoja nifke home nilie nmuonyeshe mama kovu nliloanguka wakat namuibia hela kwa pochi nisingizie alinpga nanyanyasika na vile n last born atanielewa tu
2026-08-17 07:04:04
39
Mamy azzah :
Umesahau Unasonga ugali mchana ili uliwe usiku 😂😂😂😂😂
2026-08-17 08:25:33
8
Hongera nguvila :
muda wa kulala ulale na nguo halafu tena mwishoni mwa kitanda kisha usitake kujifunika naye😫
2026-08-17 08:37:15
8
middle blanta tz :
harafu kuna mm mwana ume hata uni fanye nn sikugombezi ila sim yangu usiguse
2026-08-17 09:45:54
10
mumy bless :
Kama huna sababu za msingi usiolewe 😂😂😂
2026-08-17 05:22:52
8
miss happy :
🤣🤣🤣 Unapenda kujiamulia mambo mwanetu🤣🤣
2026-08-17 09:39:59
2
Edvina :
kwahiyo umeamua kulia tu
2026-08-17 09:48:18
4
To see more videos from user @0fficialmam08, please go to the Tikwm
homepage.