yes every knee shall bow and confess Jesus Christ is son of God
2026-08-24 06:30:52
1
rebecaatr@@@ :
Tumsifu yesu kristo jamni sheikh abarikiwe
2026-08-17 08:47:27
107
Alice 🇧🇮 :
YESU NI YOTE NDANI YA YOTE YEYE NI MUNGU MKUU
2026-08-17 09:23:54
147
Mimright✨ :
Jesus Christ should be praised 🙏🙏🙏
2026-08-24 13:52:51
1
Magdalena maulilo :
barikiwa sana shehe kila goti litapingwa kwake yesu
2026-08-17 07:05:41
72
PAMELA D254 FT DMJK :
yesu ni mwana wa mungu
2026-08-17 15:02:50
32
veronez :
Yesu ni Mungu
2026-08-17 10:13:51
17
KEVIN CHAZ HYDRAULIC HOSE :
Walau saiv tunaanza kuongea lugha moja tutafika tu atukua hapa tulipo Bwana Yesu Asifiweee
2026-08-17 12:31:08
26
Goodafrican :
NOT TRUE, BUT ISLAM HAS COPIED SOME OF WHAT JESUS DID?
2026-08-17 13:43:35
7
Irene Jacob :
yesu ni njia ya kweri na uzima
2026-08-17 16:37:14
31
Laurent Jacobo :
Amina baba yangu akubaliki
2026-08-17 08:17:00
32
samuelchibeu :
bado tu kidogo,, sheikh aokoke na amini yesu ndiye mungu
2026-08-18 13:41:59
8
OFFICIAL TUNGU :
tunao mwamini Yesu Kristo tujuane hapa
2026-08-20 15:33:14
6
wizy masterjr :
waislam wenzangu Bwana apew sifa 👏👏👏
2026-08-17 18:50:33
7
Chaku Master :
wape elimu na sio mabishano
2026-08-17 09:10:15
10
Mina wise :
yesu ndie njia kweli na uzima
2026-08-17 16:11:54
7
Baraka Gabriel :
nakuelewa sana shekhe Tena uko vizuri sana barikiwa sana👏🙏
2026-08-18 08:23:08
5
Hellen Fliakos :
Barikiwa sana :lakini Yesu sio nabii :Yesu ni bwana na mokozi wa maisha yetu:Yesu ni njia kweli na uzima hakuna atakayeenda mbinguni isipokuwa kwa njia ya yesu:na pia Yesu ni lango la kuingia mbinguni
2026-08-17 08:28:22
7
sara wa YESU binti sayuni :
yani wanatakiwa wajue YESU kirsto ni mokozi wa maisha yetu
2026-08-17 07:38:57
7
abelly :
kunichanganya tuu aaaa hamjambo
2026-08-17 07:24:36
7
The 👸 :
kitu ambacho tunakosea wakilisto kusema yesu ni mungu in hali ya kuwa yesu ni mtume wa mungu sio mungu alitumwa na mungu so erewen hivyo
2026-08-23 17:25:05
1
Demox Unltd :
Yesu ndie njia ya kweli na uzima 🙏
2026-08-20 19:54:54
3
kim :
Jesus is our saviour 🙌
2026-08-20 07:27:49
3
SABUNI SAKAME :
wa Congo tuna aminiya iyi mjumbe
2026-08-18 21:02:46
2
mama msheshi :
Habari wameipata .
2026-08-17 08:34:03
1
To see more videos from user @muftijunior3, please go to the Tikwm
homepage.