Yan hii nyimbo naipenda yan kila siku lazima niipige kwang yan daah nyimbo za zaman noma sana
2026-08-16 19:32:04
7
DEVOTA WILLE :
ninachojua ni kukupenda tu
2026-08-16 19:42:35
2
PAWA HOUSE :
jina la nyimbo bro
2026-08-18 07:50:25
1
Mapetetz :
Mr Usingizi Umelitupa Shuka 😂😂😂
2026-08-17 08:02:18
1
NELLY EDUCATION :
momba nyimbo zako zinaishi mpaka kesho bro🥰🥰🥰
2026-08-19 08:02:03
3
WATU WA ARUSHA :
Oyaaaa mambaaaaaa Napataje lile ngoma
2026-08-17 08:03:49
0
youngChampez :
Irudiwee hata kwa remix
2026-08-16 20:20:01
1
Ram Ville🇹🇿 :
Hauzeeki Mzee., Umejitunza vizuri sana👏👏👏👏
2026-08-17 08:02:48
1
Abou Moyo :
sikiliza melody
mistar utajua jamaa alikua mbali sana jamaa
aliwazidi ubongo vibaya
2026-08-17 05:17:00
3
RASE5 :
hii naitaka yote ilokamilika jana Ulipost kipande cha dakika moja hata ivo nilikichukua pia.
2026-08-16 20:18:57
0
Witybaby :
momba uko vizur babaah
2026-08-16 19:53:21
0
JOE :
Mi sio sharobaro nilikua naimbia binti mmoja hv miaka hiyo
2026-08-16 20:18:06
1
young genius 😋 :
momba najua tu mambo ya music msanii wakwanza alikua ni momba wapil sajina ...oya weee ulivyopotea niliumia sanq kka naomba ulud nimepata mtt wakiume nimempa momba familiaa ilipinga sana kuwa jina ni geni ila nilimaanjsha kukuenzi mkali wangu..kabwela na dalesam ninazo mpak leo tangu kitambo enzi za memory cd..frash oya we ni fund.
2026-08-19 11:53:17
0
Nick _dady-Tz_56 :
daaah bonge moja la ngoma. haichuji hii
2026-08-16 20:31:48
1
badmanmshoma :
let's go kakaangu💯💯💯🔥🔥
2026-08-19 02:19:35
1
MUSA _TZ :
😁😁😁 ivi huyo dada video vixen Yuko wapi ebu mtag kwanza ujue alikuwa WA ndoto 😂😂 enzi hizo
2026-08-18 07:47:57
4
ISSA ISSA :
broo ludi kwenye gem bana
2026-08-18 04:29:51
2
Lizy venah :
Khaa naipenda sana hii😘
2026-08-16 20:00:09
0
DJGUNZ_TZ :
Daah! hii ni blessings kubwa sana.. Jamaa yupo vile vile🙌👏
2026-08-17 11:32:22
1
salimu ndevujr :
momba c uludie hii ngoma ifanyie remix. bonge la ngoma
2026-08-17 06:43:52
1
To see more videos from user @momba.ally, please go to the Tikwm
homepage.