@carbyleen: #holly#Jesus

Dr Carolyne😘❤️
Dr Carolyne😘❤️
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 19:39:22 GMT
37379
6074
210
67

Music

Download

Comments

adolphgeorge159
Adolph George :
We unafaa kuwa mke wangu karibu
2026-08-17 13:47:31
7
mewilsa5
Mia ♒ :
kabisa my dear yani sasa hivi nikifanya manifestation inatokea tena zaidi na pia naona nilichelewa sana kumjua
2026-08-17 11:30:28
13
mr.mosha47
Kelvin Mosha :
Naomba kuuliza Rohomtakatifu ni nani?
2026-08-17 07:53:46
3
born_robby26
robert :
Asante sana barikiwa sana
2026-08-21 11:24:17
3
shamkilyatz
MSHALLY Tz🏹 :
na0mben mnitajie bilbia nzuri yenye uelewa mzuri jmn inaitwaje
2026-08-21 19:14:31
3
audax.osward
Audax Osward :
dada una roho mtakatifu nijibu hili Ulikua wapi kabla hajazaliwa na ukifa unaenda wapi?
2026-08-18 07:51:14
2
stow___away
Tread :
Dunia ina justify dhambi sikuiz ndo maan roho mtakatifu wengi hatumsikii.... Thankyou for the info and God be with you
2026-08-19 05:23:46
2
john.kay4880
🌟🌟JOHN KAY🌟🌟🌟 :
maneno YAKO yamejaa hekima. Mungu akubariki.
2026-08-16 20:09:20
7
lifewise_tz
Lifewise :
Yani huu ni ukweli mtupu
2026-08-22 05:46:35
3
briankemboi6557
Brian Kemboi :
amen
2026-08-17 11:08:47
2
user7061319194977
MSUKUMA MPOLE 🇹🇿 :
amli kuu za mungu zinaptikan kwenye kitab gn?
2026-08-17 20:10:43
2
wakristo3
#Wakristo :
Unachojua ndio wewe. 💯
2026-08-17 09:06:50
2
jacqueajuny
Jacque Ajuny :
roho wa Mungu aendelee kukuongoza binti sayuni
2026-08-18 13:11:18
2
dionis.ignas1
Dionis Ignas :
“Atakapokuja huyo Msaidizi nitakayemtuma kwenu kutoka kwa Baba, huyo Roho wa ukweli, atokaye kwa Baba, yeye atanishuhudia mimi.
2026-08-22 06:45:32
4
antonanton2362
anton_anton :
mambo ya ukweli kabisa
2026-08-20 09:44:38
1
cross.zone8
Cross zone :
hakuna anayeweza kumuelewa Mungu
2026-08-17 06:26:49
2
user99329080009120
Nembo ya Mtaa :
nimekupenda bure mtumishi wa Mungu alie hai Mungu akutie nguvu kazi yako ipate taji ile sku
2026-08-16 20:10:02
2
consiejimyson
Consie jimyson🔐✨️💖 :
Amen🙏
2026-08-18 08:09:05
2
user99329080009120
Nembo ya Mtaa :
dada ikitokea nimeenda mbinguni we ndie rafki yangu wa kwanza kuzungumza nae ukuu wa Mungu uku duniani tena naamn nitaenda
2026-08-16 20:04:11
4
yaredi28
Yaredi mtokambali28 :
Barikiwa
2026-08-16 20:36:49
2
user3155398782073
vedasto poncian :
Amina ni kweli Mungu anafanya vile unavyo amini kwake
2026-08-17 22:57:57
2
use2026ww
Jeny 🍒🍒🍒 :
Exactly 🙏🏻 dear Ubarikiwe sana na MUNGU
2026-08-18 07:53:28
2
user99329080009120
Nembo ya Mtaa :
Mungu akutie nguvu hakika wewe ni mtmishi wa kristo
2026-08-16 20:05:35
1
frecher00
fredymwakaje160 :
Mungu Mwema
2026-08-17 07:20:40
3
user6530275316913
user6530275316913 :
Maisha yakumjua Mungu ni mazur San ni ya amani San
2026-08-17 20:39:27
2
To see more videos from user @carbyleen, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About