AMEEEEEEEN AND AMEEEEEEEN 🙏🙏 Baba nitie nguvu,ondoa hofu na wasiwasi🙏🙏🙏
2026-08-17 11:55:44
1
Mngete Mngete :
Amen 🙏🙏 Nina hofu sana EEEH Mungu wangu muumba wa mbingu na Dunia nakuomba uzao huu ukawe na baraka nakataa Mauti na Kila baya likiwa juu yangu nakuhitaji Mungu wangu🙏🙏🙏🙏
2026-08-17 06:17:23
54
NEEMA MBUGH :
thank you pastor god bless me
2026-08-18 12:43:28
0
Arsenal 💕girl friend :
big Amen
2026-08-18 06:42:15
0
cthe :
Amen nakata roho ya uharibifu Kwa jina la Yesu ndoto chafu ndoto mbaya Kwa jina la Yesu
2026-08-17 14:37:22
0
Dollar bills 💸🤗 :
Naombea uzao wangu hauta toa mapoozo Wala ulemavu nakataa katika jina la YESU MUNGU ananibaliki mtoto wa kike mzuri aliekamilika kimwili, kiroho na kiakili atamtukia MUNGU wa kweli katika jina la YESU Miracle umebalikiwa in Jesus name Amen
2026-08-17 06:34:52
14
Diana Shipengese :
ameen and ameen
2026-08-18 15:20:01
0
rehemajuma :
Amin amin amin
2026-08-18 11:02:22
0
Talitha E. Ndongo :
Baba tunataka kudanload tunashindwa
2026-08-17 04:55:04
6
mubarikiwa esther :
nicha jifunguwa asante kwamaombi
2026-08-16 23:01:50
5
TeddyB :
nilitamani kuomba na wewe lakini sio mjamzito tena mimba yangu ya mwezi 1 imetoka naumia kukutana na hizi video kipindi hiki😭😭