@mr.mazagazaga:

Mbuzi 🐐
Mbuzi 🐐
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 16 August 2026 21:12:51 GMT
498910
35070
482
577

Music

Download

Comments

darling3630
girl 💸💖🔐 :
mume wangu kazi yake ni kushika feni tu🥰🥰🥰
2026-08-17 07:01:48
279
abdulkhalid064
Smartphone station tz :
Kuna watu Wana shukran sana vuta picha wew ndio ungekuwa level za babalevel licha ya diamond alikuwa mtu wako wa karibu ungekuwa ushabadilika matabia pengine ungekuwa hata ukaribu nae umeisha lakin huyu jamaa licha ya kuwa tayar ni mbunge mambo kibao pesa anapata still anamkumbuka mshkaj wake na wanaish kama kawaida bila matabaka respectful kubwa mnoo🔥🔥🔥
2026-08-17 05:48:36
758
bethina_59
bethlique🧧tz :
naomba kuuliza muheshimiwa baba levo kigoma unaenda sangapi??? mda wote upo dar na diamond jaman😂😂😂😂😂😂😂😂
2026-08-17 07:51:14
72
al.habibahmed
AL.HABIB AHMED :
sasa mwenye biashara mwenyewe yuwaondolewa atahudumiwa na nani😂😂😂
2026-08-17 10:17:18
78
momiepoi
Momy poi 😍 🤗 :
Apa ni wapi kwn?
2026-08-17 11:52:54
20
omaydimpo
Omar :
izo sun glass za nn usiku ?
2026-08-17 04:32:00
49
cathlynvibes
Cathlyn :
Mimi ndo huyo Baba aliyekua anataka kugawa sahani kwa lazima
2026-08-17 05:35:48
26
frankenstein_172
Christopher Black📒 :
Yan Trey Songz Ana vibe mda wote, kwasabab ni Sagittarius ♐ Na Mond Libra ♎ alaf Pembeni Kuna Gemini ♊ Hio Combination ni mizuka haipoi masaa 24🔥🔥🔥
2026-08-17 06:45:34
21
polite0094
Polite :
hem imajin kaenda foro nd kuna wat wengi anapata nafas ya kupita ingekua tz apo hakanyangi ila wazanzibar kwel hatuna time me naandika coment niko kitandani😂😂😂🙌
2026-08-17 12:59:58
9
prophert854
prophet sammy :
ila pesa🙌😁😁😁
2026-08-18 21:41:53
5
sauda5308
Sauda :
Ila baba levo 😂
2026-08-17 04:41:41
8
anlierts_7
Analerty &Nilert🌎 :
mwanangu simba anajua kuvimba
2026-08-17 06:30:13
12
dume_lachura
kunenepa kuna MUNGU :
baba levo ni multi-purpose wallah 😅
2026-08-17 06:17:23
13
user4438700878417
dully :
zanzibar niseh pek kw sas yakujitambulish kimataif welcom to zanzibar hakun matat aman na upend ndio silk yet
2026-08-17 04:44:11
7
bwax____
bwax____ :
sasa ndio mbunge gani uyu
2026-08-18 07:09:57
1
kababayee5babayao
Kababayee Babayao :
Wanamapoz sanaaa 😁😁 awa wasaniii
2026-08-17 06:26:56
7
best_store_collection
BEST STORE COLLECTION :
babalevo anajituma 😂😂😂
2026-08-17 05:12:34
6
zanzbartest1
Suheler brown🦋 :
🥰I’m
2026-08-17 00:07:12
8
msley05
its officialkidoty🦋♥️ :
kwani kupokea sahani ni lazima😂
2026-08-19 09:37:09
0
saurath2
Saurath :
hv hapo tuna mbunge kwel
2026-08-17 13:43:32
2
chamy_princess
_Mamy~🦋🌸😌 :
Mmenikumbusha jan nilivomuon diamond nilifurah nyie aaaah😂😂😂😂🥰🥰kam siku ijirudie
2026-08-17 18:07:24
4
sahertz
𝙳a𝚍𝚍y 𝚏𝚊𝚛𝚑ee𝚗👨‍🍼🤍 :
Daah tutafutenii ela aisee maisha ni mazuri ukiwa na pesa daah japo ni starehe za mud mfupi apa dunian ila heshima ipo tu daah 🤟😆
2026-08-19 16:35:00
3
trendyhaven7
Mis-perry🎀 :
Mbunge wa kigoma ni balaa😂😂😂
2026-08-17 10:36:36
4
queenmilca1
QUEENMILCA1 :
mwenye biashara katolewa
2026-09-18 10:23:52
1
To see more videos from user @mr.mazagazaga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About