@ages.media1: Mfanyabiashara @bolo_paints amemshukuru mtaalam wa kufunga miziki ya magari na majumbani @jembe_car_ kwa kusapot vijana mbali mbali jijini Arusha ambao wanapambana kujitafuta kwa kazi mbali mbali Akizungumza katika hafla ya kukutana watengeneza maudhui mbali mbali jijini Arusha #bollopaint #jembecaraccessories