@basweera2: #onthisday #foryoupage #creatorsearchinsights #canada_life🇨🇦 #kenyantiktok🇰🇪

BASWEERA🇹🇿
BASWEERA🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 00:38:12 GMT
333262
17888
364
179

Music

Download

Comments

hijjahboytz
Hijjah Boy Tz :
nimejaribu na Mimi hiyo nilivyopigwa Kofi siwez rudia tena😥
2026-08-17 07:26:56
300
kanjwehavertz
Kanjwe Havertz :
hii challenge imenitoa kwenye Samsung hadi kwenye infinix 😭😭 kasimu kangu kalipigwa ukutani kakachanguka changuu
2026-08-17 09:40:19
101
davidkajabuka2
davidkajabuka2 :
umeniponza nimejalibu ivyo kwa mama mwenye nyumba wangu kesi ipo kwa mjumbe
2026-08-17 19:35:16
40
mageti24
Saida🧕🏻 :
Haya mkimaliza mnambie mliowana ama laa😂
2026-08-17 07:35:18
33
mokhaan3
Mo Khaan :
Kaka Nikiwa mkubwa Nataka niwe kama wewe😂😂😂
2026-08-17 05:29:00
41
faridasultan929
Farida Sultan :
hii song anaitwaje na kaimba nani
2026-08-19 09:51:31
2
user5045023097861
Zara machinja :
jina la qaswida pls
2026-08-17 09:05:34
3
www.tiktok.comyahya054
OfficialYahya 007 :
Mbona mwanetu hata namba hajachukua 😁
2026-08-17 08:20:25
13
salumu7208
Salumu :
naumia sina mke niombeni Dua nipate mke me siwezi kua namchumba animausiano nampenda ndoa tuu ila sipati kilanaempataa anasema ninamtuu aniwana zinituu Zina mbaya
2026-09-08 11:10:18
0
depo5286
chumu khamis :
masha allah mtoto mzur puwa amejaaliwa puwa piya masha allah boonge la puwa kama ya mjombake kobis kikala
2026-08-17 19:52:13
2
userfetydisayna
Madam fety Lovely :
mashallah tutumie muendekezo picha muliopiga nimeipenda kwa kweli
2026-08-17 06:06:19
9
user661759233104
mira :
wanaume twapenda vizuri Masha Allah
2026-08-24 11:50:51
0
kipazakaimu_
MC Kipaza_Kaimu :
nzuriii iyoooo
2026-08-17 17:39:46
2
nassrfungameza
Nassri Fungameza :
:hii imenikumbusha mbali sana Nasma au ((Nelly de)) popote ulipo nakupenda sana🥰🥰
2026-08-20 09:58:02
0
userfathma2893
user##00001 :
Hata mm ntaongea na mpenzi wangu tufanye hivi...vile tu yeye atakubali kupostiwa
2026-08-17 07:33:57
1
shabirushafii0
Shebi duu love❣️ :
maashaallah 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
2026-08-17 09:22:29
0
habibty128
Habibty :
nmetamani mwisho niwaone kwenye ndoa 😢 ,Mi Wang alinifanyia hivi ikabid nimpe no😅 sai tuna mwezi kwenye ndoa 😂😂
2026-08-17 11:32:28
9
taliq.the.one
#Mafish Br@nd🍎 :
mbna Sasa ujachukua namba na ww kaka
2026-08-17 20:30:13
2
jamalirajabu726
Jamali :
hiii kasahau no.eti
2026-08-18 14:00:26
1
zainabu.hamisi35
Zainabu Hamisi :
ungeomba namba ya simu duh itakuumiza sana ukimfikiriaa sana
2026-08-20 07:04:30
1
mwadzik
mwadzik :
mashaallah
2026-08-17 04:22:46
4
mahlullahalkhallasy2
mahlullah alkhallasy :
Bismillah mashallah haddiii rahaaa mashallah
2026-08-19 08:02:07
1
issayahaya2
Issa Yahaya981 :
mkumbusheni kasahau namba
2026-08-17 18:25:25
1
nefsun333
fatmah :
nakumbuk 2016🥰🥰🥰 Alhamdulllah
2026-08-17 10:28:14
4
adamrahma2025
Rey Adam🇹🇿🇹🇿🇹🇿 :
adi rahaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-17 05:45:26
5
To see more videos from user @basweera2, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About