@fertilityexpert: Je? Hili Ulikua Unalifahamu #swahilimedics

Swahilimedics
Swahilimedics
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 03:26:41 GMT
42717
2577
208
228

Music

Download

Comments

user671707146910
black girle 🥳 :
kaka mm nikiingia period napata kichomi ukeni, mkunduni chini ya kitovu,kiuno,nashindwa hata kufanya kazi Kwa kusimama ni kuinama tu muda wote yaan nateseka nifanyaje 😭😭 mm ,na kuharisha sana Kila hedhi
2026-09-20 10:27:17
2
faxynaxy
Nah,nah🖤🖤🔐 :
nmepata ujauzito kupitia ii vedio 😁
2026-08-17 11:27:02
8
shamilaomary36
shamilaomary471 :
diet
2026-09-20 13:39:25
1
agnes.emmanuely3
Agnes Emmanuely :
kama mimi nimechoka mpaka natamani wanaotengeneza dawa za uzazi waje wafanyie test kwangu jamani pesa sina na mtoto namtaka🤚 am tired 😫
2026-09-03 10:17:37
4
esthermusayi0
Esther 🥰🥰 :
Mi na lala Hadi watu wana ogopa 😳.
2026-09-12 04:27:02
3
gracembedule
gracepatrick :
Na ndo maan wanaotumia dawa za kupunguza uzito ni rahisi kupata mimba kwasababu wamepunguza vyakula vya wanga
2026-09-20 17:01:10
1
user4858569738382
10 :
Mimi sipati usingizi kabisa usiku dr.hapo nateseka msaada plz
2026-08-21 06:56:38
2
user2511192612600
Angelina Joram :
me nina miaka mitatu sipati ujauzto najaribu san kutumia sku za hatar lakin sipati ujauzito lakin pia nina changamoto ya mvurugiko wa hedhi doctor
2026-09-11 12:11:05
1
dida82462
dida :
Dayat
2026-09-11 18:47:34
2
deborahmgumba
Debby :
duet
2026-09-12 20:02:45
2
user3721313978058
maria :
dayati
2026-09-12 20:44:17
2
user9653793015703
umunawwalkolongo1 :
diet
2026-09-20 13:38:43
1
siphe_nxinxi1
Siphe_nxinxi :
Diet
2026-08-17 17:55:03
0
beatrice.elisha8
Beatrice Elisha :
Diet
2026-08-17 06:22:40
1
jescar.cheyo92
MA G Model :
diet
2026-09-13 06:48:55
1
celinawangwe
celina Wangwe :
diet
2026-09-12 08:09:08
1
user1239072330053
Fátima João Eduardo :
dayat
2026-09-12 15:34:43
2
user330735127791
kaka :
diet
2026-09-11 21:07:23
1
mayrah64
mayra :
Me kila siku nalala saa8 usiku naamka saa6 mchna sijui Niko sahii🤣
2026-09-20 16:39:47
0
user3065460517051
suley@buuh🌹 :
diet
2026-08-24 17:19:37
1
mamamathewtz
user8145495261914 :
ndio maisha ya watanzania 95
2026-09-18 08:20:30
2
jacklinibahati
jacklinibahati :
mim nataka mtoto ila sikuerew
2026-09-20 12:54:05
1
mwajumaally881
queencheka og :
diet
2026-08-23 09:19:12
2
luqman.mussa
Luqman Mussa :
dr,VP kwa wale wenye mimba zinaharibika?
2026-08-23 14:52:45
2
_calmbrizzy
_calmbrizzy🥰 :
doctor mimi sipati usingiz kabisa alaf kichwa kinaniuma balaa
2026-09-04 15:01:51
2
To see more videos from user @fertilityexpert, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About