ila kitu kina mwisho dadaangu wala usiangaike yanga wapo imara kila idara ila iposiku watafeli wanaowapa kiburi wataondaoka na uongozi uliopo leo utabadilika wala usiumize Kichwa
2026-08-17 17:32:57
2
Devis Kapinga :
hakuna viongoz hapo
2026-08-18 00:46:47
1
petromgesi :
sema me nahic hata hawa viongoz tulionao siyo wana simba tulichomekewa tu kuiangamiza simba, iv kweli tunavyoona hawa ni viongoz wa kuifikisha simba panapostairi kweli
2026-08-18 07:31:12
0
Paulina Bonifasi :
mlisema hamna lakujifunza kwa yanga mnatak nin mwachen rais ya yangaa
2026-08-17 13:14:10
1
wasiwasi :
mkombozi wa simba alikuwa hansi pope
2026-08-18 05:37:43
0
b bwoy tz :
mwakani tenaa😁😁😁
2026-08-17 16:01:41
1
exha 239 :
dada unachokisema kweli
2026-08-17 10:11:00
1
Kelvin Chaula :
Simba hakuna viongozi
2026-08-17 18:56:40
0
Mapambano :
upo xahihi viongoz wetu vilaza awajitambui
2026-08-17 18:38:06
0
OBEY☘️ :
free simba💪💪
2026-08-17 19:33:10
1
Ochuu :
Sasa hv wanamchukua moo
2026-08-17 05:06:26
1
JUSTUN :
amchukue na moo
2026-08-18 06:24:53
0
Da zuuh wa mipango :
mangunguafai
2026-08-17 13:53:50
0
Shafiq Abdalla :
tupeni mangungu kwa .mkopo
2026-08-18 07:19:59
0
To see more videos from user @elias.ndosi, please go to the Tikwm
homepage.