waow mashallah umefanya nika smile leo for along time😍😍
2026-08-17 19:06:06
3
jacky :
true love
2026-08-17 06:58:55
1
Abdul Ndembo :
mungu nibariki uniletee mke mwema atae dumu nami siku zote za maisha yetu
2026-08-17 15:25:45
244
sunrise :
SAWA KIDOGO ILA NDO CHUNGWA LA MIA
2026-08-17 18:09:33
38
rayyan🥰🥰🥰 :
Mungu bariki hii ndoa 🥰🥰🥰
2026-08-17 15:09:26
176
💦 cute Melissa 💦 :
mungu nipe Kam huyu
2026-08-17 13:29:45
31
Chris vihamba :
You made it bro
2026-08-18 06:05:55
1
babyface :
yhats true love☺️☺️☺️
2026-08-17 09:54:38
1
Manchudaa :
hii furaha haiwezi kununuliwa kwa pesa🥰
2026-08-17 10:19:43
142
love d 💖 :
niliomba kama huyu ila mungu kanipa mpole hataki maswa ya tiktok tena akikuta upo tiktok anakuuliza unajifunza nn huko binti yani yeye kwenye sim yae yupo na wasap tu 🥲🥲🥲
2026-08-17 11:22:12
54
Shuttle blood :
kikubwa furaha afu kuna.ambao ety hawajui ugal n nn?
2026-08-17 13:49:19
48
mbaga boy :
daaaaah uakika mwana
2026-08-17 15:14:34
2
Haika :
wadadaa mnaomba mpate kama huyoo mtawezaaa kuvumiliaaa nyieee😁
2026-08-17 14:45:19
19
26 msafi :
respect
2026-08-17 13:28:35
0
miss yustar :
make sure ukiomoka bro usi sahau huyu Dem pllz tutakulaani
2026-08-17 17:19:32
21
jonathani silvanusi :
Mungu awabariki muliotangulia kuowa
2026-08-17 16:45:13
17
SAMWER :
kaka usijeukamuacha uyo shem we2u sawa kaka pamoja broo
2026-08-17 16:36:52
15
emmakulathakijangwa :
tatizo hela ikiwa haipo upendo kede kede ngoja kakipato kaongezeke na madharau tele🙌🙌🙌
2026-08-17 18:39:25
18
Easy going Em :
kakaa ukifurai wewee si ndo tunafuraiiii😁😁😁 ...MUNGU fungua milango ya muhuni familia iinjoi asee
2026-08-17 18:38:44
7
badgirl :
kuna wakwangu hataki nijipost mwili mzima ety huko unamwonyeshea nani hataki nijipost Ila yeye anajipost nakerekaga hajui tu😫 na ndo kanifollow kabisa ili aone nachokipost wabena bhn🙌
2026-08-17 17:29:09
7
N@n@_255 :
☺️afu Kuna shetan anakuja anamuhonga huyu dada gar au hela ili amkatae uyu kaka haya bhna mashetan 😂😂 Mungu anawaona enewei Mungu awafanikishe
2026-08-17 16:38:55
10
Ukhty Dee :
mashallah jmn ukipt usije .sahau bdae man wanaume tunawajua Mt a view profile sasa😁😁
2026-08-17 06:56:15
18
Erica :
mm pia tulianza maisha kama haya na Mme Wangu Mungu awazidishie upendo na aman
2026-08-17 10:22:42
9
samairahasaidi :
usije ukazipata ukamwacha huyo mwanamke brooo
2026-08-17 07:32:28
5
Marry Samwel :
namuwe hivi nafuraha kila siku kwa jina la yesu
2026-08-17 18:40:26
2
To see more videos from user @nasskidd_, please go to the Tikwm
homepage.