Gilbert otieno :
mbona wachina awamjui uyo yesu Wala Muhammad ,,,na akuna ata nabii mwenye jina la ki china ,,Hindi Wala nabii muafrica kwenye biblia na qurani,,na ebu jiulize malaika wote majina ya kizungu ,,,watu tu stuke tukomboe fikra zetu,,tutoke kwenye mfumo,,wa kikoloni
2026-08-18 08:11:12