kaka ww ni moomaa,hapa katikati ndo kumenipa picha halidi ,mwisho ndo mwanzo,ubarikiwe mnoo, kiukweli Kuna mambo yanakukuta gafla unatamani wewe usiwe wewe,yaan daah,Kuna muda najiuliza hv mm ndo mm kweli??
2026-08-18 09:11:46
3
Monalisa Mushi :
nakaribia kuchanganyikiwa kwasababu siyo kwa aibu izi napata kila siku
2026-08-17 14:13:22
1
Mjuba _Madeeh🐰 :
Daaaah wallai bro umenifungua sanaa maana i was almost to surrender to this matrix
2026-08-18 20:10:21
0
Mariam Hamis🧜🏾♀️🧜🏾♀️🌊♓️ :
Duuh we kaka umenisanua mpaka naona kama umenirudishia uhai wangu , nina miaka 3 napitia hayo yote unayo hadisia mungu wangu 😭😭😭😭 Uuwii acha nipige kelele kwa nguvu . Asante sana
2026-08-18 01:50:21
1
Amazon :
Ndiyo bro 😎 thanks 🙏 nimekuelewa
2026-08-17 06:04:01
1
userNeema Ntiro :
Nashukuru mwalimu leo umenikumbusha mbali sana,Ubarikiwe
2026-08-18 11:44:09
1
user3156966988261 :
Uhakika yani ukweli mchungu tumepitia wallahi🥰🥰 Asante Nimekuelewa
2026-08-17 10:52:04
1
Guardess Katembuku :
Eeh kweli jamani yaani watu wamenigeuka ninakataliwa sana.
2026-08-18 08:47:56
0
platnaum :
mbona sijaelewa
2026-09-14 10:34:57
0
deodorotia :
kweli mkuu
2026-08-17 10:47:55
1
user39251754826822 :
Asante kaka wa kiroho 🙏🙏🙏♥️👍
2026-08-17 16:31:21
0
khalipha mpolee :
dah nashdwa jinsi gan niongee ila yote hayo yapo juu yangu
2026-09-17 16:25:25
0
yma :
mm ndio nimefika hapo najihisi kuchanganyikiwa
2026-08-18 19:38:28
0
Ezebia Joseph :
alf unakuwa nahuruma yajabu jamani nakuelewa sana kaka
2026-08-19 11:13:09
0
Juma Mussa :
kaka mungu akuweke tunajifunza mengi kutoka kwako.
2026-08-19 14:32:33
0
Samirastylsh :
Nilishawai kuwekewa kikao cha mauza uza ,yaani wamewekwa ndugu ili waniseme,uzuri ile ishu niliishtukia nikawaacha Katikati ya kikao chao,na ile ndio Ilikua pona yangu
2026-08-19 17:27:35
0
Dorkas Sekana :
Isikute niwatu wa kalibu sana na wewe
2026-08-17 12:22:24
1
jacky j ddd :
asante.sana
2026-08-21 17:48:29
0
WATHAMANI SIWANI UJENZI1313 :
😭😭😭😭😭😭
2026-08-18 05:41:34
0
NICKY 🇹🇿 🗣 :
😞
2026-09-24 10:52:43
0
To see more videos from user @awakenedgiant1, please go to the Tikwm
homepage.