@denzel_trainer: IMEKUWA NI HESHIMA NA FURAHA KUBWA SANA KWANGU KUKUTANA NA TREYSONGZ @treysongz PAMOJA NA TIMU YAKE. Mimi Denzel Trainer, Moja ya ndoto yangu kubwa ni kuifungua Dunia kwa vijana wenzangu kupitia maarifa, fursa na ushirikiano na watu wenye mafanikio kutoka sehemu mbalimbali duniani. Natamani kuona Tanzania ikijivunia kuwa na wakufunzi bora, wenye weledi, nidhamu na sifa njema, wanaoweza kuipeperusha bendera yetu kwa heshima. Nia yangu si kujijenga mimi pekee, bali kujenga kizazi kinachoweza kufungua milango kwa wengine kufanikiwa. Ninaamini tukipeana nafasi, maarifa na fursa, tunaweza kuifanya Tanzania ijivunie kupitia vijana wake duniani.

DENZEL TRAINER
DENZEL TRAINER
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 05:54:28 GMT
59862
3622
24
18

Music

Download

Comments

amirnasry491
amirnasry491 :
Hongera brother Unaiwakilisha vyema Tanzania yetu
2026-08-17 06:48:19
6
de_kerry
🦋SALOME🦋 :
Ila uyu msanii anaonekana anaweza kuishi popote ni mtu pouwa sana
2026-08-17 18:54:15
4
eliasezel6
Elitreysong🇹🇿 :
treysong he is very humble than anyone artist
2026-08-19 14:03:27
1
_real_pc
really_ crls :
Humble Denzel, Truly humble
2026-08-17 18:33:12
0
mustaphaali257
Mutsaphaali :
Hongera kaka ufike mbali sana 🔥🔥
2026-08-17 18:01:11
0
rosajaime618
Rosa Jaime :
danzel trainer ajuwa sana
2026-08-17 18:28:29
0
cranium_motion
SkullCaps Made in 🇹🇿 :
Nakubali kaka🔥🔥🔥
2026-08-17 10:25:47
0
raymondrogers405
vanny :
Kaka mbona kunakamfanano frani hapo
2026-08-17 07:14:04
1
user5281804754024
champion :
mme jaribu kufanana
2026-08-17 06:24:12
0
user92375143
Abeid nego :
hongela blaza mungu akubaliki sana
2026-08-17 07:43:02
1
alibachir28
Bachan :
wabongo nao msani Yuko njee ya muda . mpaka muwenyewe Yuko suppressed
2026-08-17 12:43:56
0
kart_realism0
k-arts :
amina🙏
2026-08-17 06:40:16
0
dangerlion46
Jeshi letu tz🇹🇿💪♥️ :
usinyenyekee San bro wew ni mkubwa kuliko yeye 🫡
2026-08-18 08:13:04
0
deycallmezaryna
M🌸 :
nyie hizo picha mbn Ai
2026-08-17 14:39:39
0
syd0946
syd :
sahii sana bro
2026-08-17 06:48:13
1
lababa426
mtummoja :
Treysong alihisi uyu mtu anatak kuniomba fedha nn ??
2026-08-17 10:27:27
0
davidfahari777
david fahari :
unanyenyekea mno 🤣🤣🤣
2026-08-17 10:45:54
1
mudrick.morayo
Morayo :
Saiv umemsaliti ali kiba
2026-08-17 11:46:54
0
zurrywassou2
zurry wassou💋..🇹🇿💞🇦🇪 🍒 :
Apo angekua Chris's brown angekua kasha kutupia cm yako chini na kununa Ila huyu mpogoro wetu wenyew tusha mpenda yuko na roho yake
2026-08-17 14:28:27
0
makame009
Makame47 :
🙌🙌🙌🙌🙌
2026-08-17 14:45:48
0
blean_239
blean_239 :
😍 @Trey Songz
2026-08-17 08:53:23
0
maua11marcella
maua :
❤️❤️❤️
2026-08-19 11:27:59
0
To see more videos from user @denzel_trainer, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About