@mtwara_leo: Replying to @.bj_tz NEWALA, MKOA WA MTWARA 🇹🇿❤️🔥 Kuna sehemu ukifika lazima ujiulize… “Hivi hii ipo kweli Newala?” 😍 Shimo la Mungu ni moja ya vivutio vinavyoifanya Newala kuwa na story yake ya kipekee. 🌿🔥 Wana-Newala mpo? ❤️ Newala ina nini kingine ambacho Tanzania inapaswa kukijua? 👇🏾 #Newala #Mtwara #MtwaraLeo #ShimoLaMungu #visitmtwara