@pagija_1: Pale uwe unaishi na rafiki getto bovu alafu umwambie unaleta mademh aweke geto sawa unavyokuta amebadikisha getto mpaka unalisahau😂😂😂😂😂 Karibuni sana kwa @Moses_artz ujipatie picha nzuri sana ya kuchora kwa bei nzuri sana, weka kumbukumbu zisizosahaulika kwa kuwa na picha iliyochorwa kisanaa ambayo ina uzuri na kuonesha kila taarifa ya uzuri wa ngozi na sura yako Cw/: @CHIEF KYANDO @NEISA GODFREY @official_dory 🎥/:: @NGOWE_
PAGIJA
Region: TZ
Monday 17 August 2026 06:32:37 GMT
Music
Download
Comments
marihemu 😭 :
hii combination Kali sana Kam umekubali gonga ap😅
2026-08-17 06:46:03
404
Wamitego :
:dah kumbe like zimebadilika rangi na hamsemi 😳
2026-08-17 12:04:54
148
mtugame out2 :
ndohapa kwenye geto langu 😂😂
2026-08-17 11:35:56
47
𝕷𝖎𝖞𝖔𝖓𝖏𝖔 𝕷𝖊𝖌𝖆𝖈𝖞👑 :
pagija kashangaza Kila mtu😁!
2026-08-17 12:10:50
107
☘️Dïhèñgà craiz🍃✨ :
kaka wakwangu ni yupi
2026-08-17 06:51:50
110
Gwabrain41_nyoka :
ila nilipanga kutokucheka lakini imenishinda kuvumilia😅😅
2026-08-17 07:14:33
94
The God son🙏 :
bongo la combination wazee😂😂😂😂
2026-08-17 12:27:26
28
Nelly the boy classic :
nitakushangazaa🤣
2026-08-17 09:25:39
13
☠️sele stine💸 :
😂😂😂Kuna vitu vingine usipofurah unaweza usifurah tena 🫡🫡
2026-08-17 06:50:11
80
HIS🐐⭐ :
ingeendelezwa bn😂😂😂
2026-08-17 09:07:17
14
Sabrath 🌺🌹 :
hata me nimelishangaa getto
2026-08-17 08:29:52
23
|Bi||ions Do||ar💰 🦅👑| :
Direct to the point 😂🤣
2026-08-17 10:48:23
7
Ada raba og 12 :
yani utu anauliza ndo apa kwangu kweli
2026-08-17 12:36:47
21
nameless :
unatafuta comment gani mwanetu😅
2026-08-17 14:55:22
5
𝙎𝙝𝙖𝙘𝙠❤️🔥💪 :
kaka wakwangu ni yupi😁😁😁
2026-08-17 11:53:38
35
Ndeda Joseph :
wa kwanza huku🤣
2026-08-17 06:42:06
19
Baby aryan&mom❤️🔐🦋 :
10/10 njoeni
2026-08-19 09:27:15
5
Panduranga Jasifa :
ila hapo kwenye kaka wakwangu yupi 🙌🙌🙌
2026-08-17 19:48:43
6
francson :
wa kwangu me ni wa pink 🤣🤣🤣
2026-08-17 19:21:59
7
user7669544547429 :
Muuendelez bc
2026-08-17 12:38:49
5
Arusha Matelephon & Electronic :
😂😅😅😂😅 leo nimecheka kinomaa😂😂😂😂 mnajua sanaa wakuu🫡🫡
2026-08-17 12:33:52
5
Iddy nyakulinga :
kaka umekatisha wakati imefika kwnye uondo bna aa kama ndo hivo fanya hata kamwendelezo naomba
2026-08-17 17:13:03
6
CHILAMWINA_SP🐒 :
DAAAAH
2026-08-19 07:25:17
2
Jimmypoint_accessories :
wakwangu ni yupi😂😂😂
2026-08-18 22:39:57
2
To see more videos from user @pagija_1, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2026 TikWM. All rights reserved.