@swiiftiphonecenter: 🚨 Umefuta picha, video au text kwa bahati mbaya? Usipanike bado! iPhone ina sehemu ambazo zinaweza kukusaidia kuona na kurecover baadhi ya vitu ulivyofuta hivi karibuni kabla havijafutwa kabisa. 📱 Kwenye video hii nimekuonyesha wapi pa kuangalia na jinsi ya kuvirejesha hatua kwa hatua. ⚠️ Usisubiri sana—baadhi ya data zilizofutwa huwa na muda maalum kabla ya kuondolewa kabisa. 💾 SAVE hii video kwa siku utakayofuta kitu muhimu kimakosa. 👥 SHARE na mtu anayefuta vitu bila kujua vinaenda wapi. #iPhoneTips #iPhoneTricks #AppleTips #DeletedPhotos #TechTips