Napenda kuadd challenge kdg hapo , kwenye izo connection ya bedroom to iyo small living area labda kama atafanya sound proofing na double walling system ila kama sii hivyo na ni nyumba ya kupanga kutakua na changamoto sana ya sauti . Unaweza weka hiko choo kiwe directed to the wall that splits the two unit kusaidia sound proofing na kupata cross ventilation to the building
2026-08-18 06:46:54
1
Ⓐ︎Ⓜ︎ :
urefu na upana ni ngapi hiyo?
2026-08-17 18:22:24
1
Emmanuel :
nyumba hyo ya wapangaji
2026-08-18 18:33:21
0
IshowSpeed Tz :
nahitaji hii ramani
2026-08-18 11:08:31
0
donytz :
Hiyo 17500000 ni boma tu au mpaka finishing?
2026-08-18 04:50:30
1
nooh mohamed :
Nikipata wageni choo chao niwaingize kwenye BEDROOM YANGU?
2026-08-17 20:40:29
1
To see more videos from user @ujenzisession, please go to the Tikwm
homepage.