@ibrahim_nyange: #zilipendwa #tanzaniatrendingvideos #tiktanzania🇹🇿 #pyfツviral #zilipendwa

Ibrahim Nyange
Ibrahim Nyange
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 07:11:21 GMT
17139
663
53
107

Music

Download

Comments

manyanya.shaban
Manyanya shaban :
Nilishiriki kupiga drums kwenye nyimbo hiyo tumebaki wawili tu mm na Mtani Ramadhani mpiga ridhim guitar wengine wote wametangulia mbele ya haki mungu awasamehe madhambi yao amin
2026-08-17 21:11:31
7
martinajohnjohn
Martina john John :
yaaani Mimi unanikosha
2026-09-10 13:30:57
1
mandandaomary
mandandaomary :
Kuna siku nilipitia post zako zote kuona kama ulishaupost huu wimbo..and now here is it.🥰
2026-08-17 13:44:42
1
kulz.the.band
Kulz The Band :
Aliniinspire sana Marijani. ALLAH ARHAM.... Aamiin🤲
2026-08-17 18:31:55
1
kasoro78
kasoro :
marijan rajaab alikuwa mwimbaji hodaari
2026-08-17 14:17:46
2
fatinakatembafatnagmail1
fatinakatemba :
umenikumbushabmbali
2026-09-17 18:27:09
1
user7777328357757
Mary :
I love this song 🥰🥰🥰
2026-09-19 06:53:13
0
nurudinrmvungi
Nurudin R Mvungi :
Jabali la muziki marijani Rajab
2026-08-22 12:15:05
1
call.me.warda6
General marijan :
marijan Rajab Allah akurehemu na akusamehe mapungufu yako wakati wa uhai wako duniani
2026-08-17 19:05:34
0
asha.kessy3
Asha Kessy :
nyimbo Kali sana
2026-08-21 11:06:18
0
user1877751721246
user1877751721246 :
mjomba
2026-08-19 08:58:08
0
esq_africa
Mwanameka :
Marijan Rajab...wapi Mwanameka? aaaah utamu mzee
2026-09-03 17:54:16
0
kudrasaid105
Kudra Said :
unatuweza sana
2026-09-03 17:36:16
0
fatumamhina2
fatumafatuma8458 :
Mapenzi hayajawahi kutuacha salama Asante Marijan Rajab🙏
2026-08-18 10:08:12
0
modestjohn380
modest john TZ :
dah jabari la muziki si mchezo ni ujumbe wa maana kwa kwenda mbele bro. ubarikiwe sana unatupa madini adimu hapa GnZee hawajui hii mabmbo.
2026-09-04 16:51:24
0
mohamedjuma26
mohamedjuma26 :
yarabi nakuomba tena sanaaaaaa umfanyie tahfifu Marijani Rajab huko aliko.Na kijaaliwa siku ya siku umpe kitabu chake Kwa mkono wa kulia
2026-08-25 06:39:34
0
mama.pinky2044
Mama pinky :
naomba niimbie Mwanameka pliz
2026-08-18 08:13:13
0
amisiyusuphmkwama
amisiyusuphmkwama :
unajuwa😄😄😄😄
2026-08-17 07:35:27
0
alnuhu.com
znzbr first :
tujuane wahenga,raha ilikuwa dahh ukikumbuka ya zamani nabaki naduwaa tu
2026-08-17 18:12:30
1
aronabas878
aluna :
wangebaki duniani mpaka leo tungefika mbali , (lakini haikua )
2026-08-17 09:56:39
1
sir.g257
Sir G :
Tamuu sana
2026-09-22 20:30:11
0
pretty.kisu0
Pretty Kisu :
kabisaa kaka furaha ya wooote hiii nishakuwa mtumwa wako wallah 🤣🤣🤣
2026-09-24 08:05:03
0
abdul.adheem8
Abdul Adheem :
Safi sana brothe Izo ndo nyimbo za kuskiliza
2026-09-17 22:14:30
0
user7844452754816
user7844452754816 :
bado twazipenda ☺️☺️☺️
2026-08-17 18:49:44
1
user4907373208123
Sonia omary :
zilipendwa raha sana wallahi
2026-08-17 08:16:10
0
To see more videos from user @ibrahim_nyange, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About