@mister_ommy_painter: Kama umefikia hatua ya plaster na hauna fundi, huyo hapo ruka naye. 0776 033 884 #MOPainter #viral #plastering

Mister painter
Mister painter
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 07:18:19 GMT
31335
760
101
102

Music

Download

Comments

omarah.255
Omarah 🌺 :
Uongo zambi kitu kimenyooka jaman🥰🥰🙌🏻🙌🏻🔥🔥
2026-08-17 07:30:23
10
kasiri255
Kasiri255 :
Kabisa
2026-08-17 12:04:51
1
naanely
naanely :
huyu namtafuta mwezi ujao
2026-08-17 15:48:50
5
bintisaidi0
BINTI SAIDI :
mashallah mashallah nitakucheki
2026-08-17 18:23:29
1
faxynaxy
Nah,nah🖤🖤🔐 :
mim miliekewa floor lkin saii yapasuka pengn shida nini mkuuu
2026-08-17 16:50:59
1
mercymercyakinyi
Yvonne :
anapatikana wapi
2026-08-29 17:06:26
1
aunti.johari.ibuma
johari ibuma :
mashaallah uko wp kipenzi
2026-08-18 03:52:53
1
jaz_africa
jaz_africa :
Kanyooka🔥🔥🔥
2026-08-17 08:26:25
1
erick.ford70
Erick Ford :
jamaa anajua sana nishachukua namba mie
2026-08-17 20:25:40
1
muhsin.abdalla2
hita man :
kisiwani zanziba unakuja
2026-08-17 14:45:09
1
benson__00
Benson__ :
mbona kama ni fundi dani uyu
2026-08-17 21:25:03
1
lucas.ndunguru.0
Lucas Ndunguru :
Chumba bei gani
2026-08-17 08:25:45
1
mtweve_p
user7813794345837 :
Fundi ni mzuri kwa kweli, kazi imependeza sana, hata skimming hahangaiki sana, pia Aluminium itakaa vzri sana.
2026-08-17 17:12:53
2
habbitysada
mamitho habbity collection :
2026-08-17 16:27:54
1
missmimah2
@missmimah2 :
Fundi kajua kunyoosha kwakwel 👌🥰
2026-08-17 09:36:49
2
mwanapilijuma14
MRS SALIM :
mashaallah ❤️Fundi hongera
2026-08-17 23:37:19
1
calvy176
calvy176 :
Hivi plasta unaweza kuanzia nje baadae ndo upige ndani msinifokee ndo nimenunua mfuko mmoja
2026-08-18 04:44:24
1
jaz_africa
jaz_africa :
Namtakaa huyuuu
2026-08-17 08:26:47
2
user7929179843099
doctor k :
chumba bei gani anapig
2026-08-17 17:48:25
1
waziriissasony
MINISTER TRANSPORTER🛻🚚🚛 :
fundi unajua kunyoosha hatari
2026-08-17 13:07:03
4
fatmaameir906
fat mother 💕 :
vyumba 3 na sebule ndani na nje bei tafadhal
2026-08-18 09:03:21
1
momly800
Momly :
Yupo wap huyu
2026-08-17 12:50:24
1
user3936391505396
my j. arusha❤️🇧🇬🇹🇿 :
Hiv kupiga prsta nyumba ya vyumba tatu na dating sebule shi ngap pamaja nasumenti Yan kama hiyo nyumba🙏
2026-08-18 09:39:33
1
e282793
E💕Store🛍️ :
Kabaruza vipi,Acha nisave hii ninakazi nae soon
2026-08-17 19:29:55
1
baller2832
Baller :
Fundi kanyoosha sana mpaka amenikera
2026-08-17 16:04:32
1
To see more videos from user @mister_ommy_painter, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About