Dada ana imani kubwa kwa mdogo wake na kwa imani hata wamcheleweshe vipi Tundu lissu atatoka kwa ushindi na aibu itakuwa kwao waliomtesa baba wa watu bila sababu. Mungu atajibu kwa kishindo kikubwa😢😢😢😢😢🥺🥺🥺
2026-08-17 09:05:56
131
Gft outfits 💃 :
yan hii familia ya lissu ina moyo wa shukrani ,hata katka kipind hk kigumu bado wana furaha na amani🥰🥰🥰
2026-08-17 09:48:15
90
Mwakasege :
mungu akubaliki kwa neno zuli dada yetu mpedwa mungu atafanya njia pasipo njia
2026-08-17 07:32:00
84
charitytz11 :
haki uinua taifa Bali dhambi ni aibu Kwa watu wote
2026-08-17 14:29:24
37
neema Lembris :
Asante mama umenifunza ujasiri kwani Kila nikimwona mwenyekiti wetu Tundulisu nalia Sasa sitolia Tena Sasa hivi ni maombi 2
2026-08-17 08:57:58
51
Reform clasic :
ohhh haleluyaa! na ikawe hivyo Mungu wa majeshi
2026-08-17 07:45:04
42
user8249134183606 :
sala ya kumuombea rais wa tanganyika
2026-08-17 07:47:57
39
FRANCOO :
mimi Kuna funzo kubwa nimepata hapo hongera Dada wa Tundu lisu Mungu Azidi kukutunza🙏🙏🙋
2026-08-17 09:35:09
33
Estherndumiwe79 :
mungu anasikia kilio cha watanganyika
2026-08-17 08:43:11
21
Simon yohane :
amen[Pray][Pray][Pray]
2026-11-06 18:49:06
0
Dizzo :
Lisu anawaombezi wengi sana 🥰
2026-08-17 09:30:07
33
Rebylove🥰🥰 :
Hadi sauti wanafanana ?
2026-08-17 12:16:14
17
tiffah🌷 :
I love you momy
2026-11-06 19:53:59
0
Pesambili :
Amina kubwa na Mungu atatenda kwa wakati.
2026-08-17 11:33:57
16
king katanga :
Amina ,amina
2026-08-17 07:36:35
13
annampesa :
God bless you
2026-11-06 16:47:14
0
rplus :
Nmeamini tumbo lililo zaa hii familia limebarikiwa na lina Mungu ndani yake. Yajayo yatawashangaza wengi
2026-08-18 04:47:03
9
Jesuscare :
familiar ya lissu yote imebarikiwa ...Mungu atafanya njia tuu...amin usiamini
2026-08-17 14:50:24
13
MWOZO GIT mzinza safi🫀 :
Amen🙏
2026-08-17 07:30:05
18
Winnie Gitagno :
Amem MUNGU atatenda juu ya Lisu
2026-08-17 09:07:33
10
Frank🇺🇸 :
Amen
2026-08-17 07:55:08
6
shanet health&wealth, SPORTS :
Macho ya Bwana huwaelekea wenye haki, Na masikio yake hukielekea kilio chao.
16 Uso wa Bwana ni juu ya watenda mabaya, Aliondoe kumbukumbu lao duniani.
2026-08-17 12:42:15
11
chifu :
emwenyez mungu tenda tena na tena juu ya raisi wetu kipenz cha watu lisu mpango wa mungu
2026-08-17 08:34:38
10
SALIM NTAMOBWA :
kumbe mama wewe ni mtumishi wa Mungu? hongera sana
2026-08-17 08:05:45
6
To see more videos from user @mwaipaya_, please go to the Tikwm
homepage.