@soga.za.diaspora: Je unatambua kuna vitu huwa tunafanya kila siku bila kufikiri lakini ni kasumba za kibaguzi kwa wageni? Binafsi nimejifunza mengi toka kwa @tovuti kupitia @mambopod juu ya Ubaguzi, haswa wa Watanzania kwa wageni. Ukishaziona kasumba hizi hutoacha kuzitambua kila zinapojitokeza. Tazama episode nzima YouTube, link iko kwenye bio. #sogazadiaspora #mambovipipodcast #ubaguzi #racism #denmark🇩🇰 @Mambo Vipi Podcast @Heisenberg_ @Serene.Roads

Soga.Za.Diaspora
Soga.Za.Diaspora
Open In TikTok:
Region: FR
Monday 17 August 2026 07:30:11 GMT
10585
431
25
9

Music

Download

Comments

iamyoungtopher
iamyoungtopher🇹🇿 :
please help me
2026-08-18 06:15:48
0
knightrider77__
kit :
Smart
2026-08-18 03:59:05
1
masaliboy2
saxboy :
kweli bro
2026-08-18 04:29:30
1
gjemshideytz
@Feisal Dady :
Ubaguz niliona forozan Zanzibar mgen kauziw sambuas 3000tsh
2026-08-18 07:12:33
1
c218475
c :
Huo sio ubaguzi #ubaguzi mtu hata hakuuzii bidhaayake
2026-08-17 14:16:50
2
akwilina.mbaza7
Akwilina Mbaza :
lamini kujifanya wanaupendi nyumbani ni wimbo wa taifa lakini ni tifauti matendo tuombe mungu wabadilike
2026-08-18 07:09:36
0
big_tz1
BiG_Tz :
kweli aisee bongo sisi ni wabaguzi sana kwanza kumuita mtu mweusi mzungu ni ubaguzi ila mtu mweusi akiitwa black ni kelele
2026-08-18 03:40:11
0
husseiabb
Hussein Daud🇹🇿🇨🇭 :
Oya...nimekaa hapa Zürich, Switzerland lakini sijakutana na ubaguzi wa aina yoyote. Na ni zaid ya miaka 7 sasahv niko hapa
2026-08-18 07:08:25
0
user6942453278131
jackson chacha :
io kweli
2026-08-18 00:04:29
0
akwilina.mbaza7
Akwilina Mbaza :
🥰🥰🥰🥰🥰🥰 kaka nimekupenda wazungu hawana ubaguzi nilienda kununu roli wakanionyesha maloli mabovu kumbe Kuna mazuri wameyqfungia yadi nyingine kaka umeongea
2026-08-18 07:04:35
0
dully.brown51
Dully Brown :
hata wazanazibar huita watu wa bara vichogo,waislam wengi huita wakristo makafiri ubaguzi wa kidini ,mimi mwenyewe wanaitaga mwarabu koko ila atokee mtu mwaupe kamdhihaki mweusi utaitwa mbaguzi 👍👍watu weusi hupenda kulalamika
2026-08-18 06:31:58
2
mjubachuga
Mjuba Chuga :
ubaguzi siyo uo ubaguzi ni chuki ya rangi ukabila Ukanda ukoo mtu mweusi Ana amini mtu mweupe anauwezo kuliko mmweusi so ukimtajia bei kubwa bado kwake anaona ni ndogo kulinganisha na kwao
2026-08-18 04:49:00
1
brack.angels
black wings :
kuziwa kitu kwa bei ya juuu siyo ubaguzi asipotoshe wtu nilitegemea ulivyokuja na huyo mkeo hamkuoew huduma hapo saw ila kisa umzidishiw bei mbona hyo kaaid sisi wenyew tunazidishiw bei au wasanii wetu wanazidishiw bei sana au watu malufu au sehemu ambayo ipo juu kimaisha bei zake haziwez kua saw na sehemu za kawaida sema jamaa ni maskin th
2026-08-18 06:45:43
0
chadalinoveae
Noveae :
Acha ujinga bhn, issue ya bei sio ubaguzi kwa sababu haiangalii kama mheni ni mzungu au mchina au mwafrika, kikubwa ni mtu wa nchi nyingine. Racial discrimination inaongelea race....sasa mkenya tu anaweza kuongezewa bei pengine kwa sababu hajui. Kitu ambacho hata kwa sisi wenyeji wakijua unatikea mkoani, kwa mawinga wa lariakoo umeisha.
2026-08-18 07:29:44
0
alfattaah_perfumes
alfattaah_perfumes@$ :
swal labei unajua nin wao wanatuon sis maskin ko nasis tuna wachukulia kam wanapesa ko kinatokea kitu kam hich
2026-08-18 08:05:58
0
fahimdigno
fahimdigno :
Wazungi wahindi waarabu tunajua kuhusu ilo ila tunajua jinsi ya kukabiliana nao
2026-08-18 07:37:00
0
dizzymaestro
Abzo 2732 🕸️🐾 :
😂😂😂
2026-08-18 06:22:40
0
To see more videos from user @soga.za.diaspora, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About