@thehijabyjournalist:

TheHijabyjournalist
TheHijabyjournalist
Open In TikTok:
Region: KE
Monday 17 August 2026 07:53:47 GMT
165852
15152
585
1102

Music

Download

Comments

future_716
Big dream 🖤🤑 :
kila siku naachwa kisa sitoi uchi 🥺
2026-08-17 19:52:24
286
antieswabie
👄Antie Swabie💋 :
mnatuchyaanganya mara kama hakupendi anakuoa
2026-08-17 10:43:31
214
champers_sam
champers🇹🇿 :
mwanamke yeyote anaekupenda awezi kukuomba pesa😂
2026-08-18 13:44:07
6
cutemamuu2
sweet poison🥰🤪🌚♥️ :
Acha tuchezewe bana msituchanganye😏😂😂😂😂
2026-08-17 19:16:43
92
kidink043
KIDINK 🔭 :
waacheeni advice mingi kila mtu afate maisha yake...
2026-08-18 10:47:29
5
ukhty.nasrah6
Baenana🌺 official :
mimi mwanaume wangu alinioa ndio tukafanya mengine but baada ya kunioa tu kaanza kunidharau mwisho akaniacha na kurudi kwa ex wake.... kaniambia nakuacha sababu sikupend 🥺😂😂.... kifupi definition ya wanaume aijulikan omba tu mungu sio maushaur yen 👌👌😁
2026-08-18 09:12:28
27
stevonjugush0
njugush :
I agree...word of the day
2026-08-18 01:29:52
1
abuumbaruku319
Abuu Mbaruku :
Acha uongo mbona mke wangu nime mbikir kwa kumzin na nikamuowa apa tuna miaka 16 kwenye ndoa
2026-08-18 03:49:48
28
blossom00blossom
blossom00blossom :
Hmmm zamanii dada sio sahiiii😂😂😂😂😂 wangapi waolewa washatobolewa na vi boyfriend zao
2026-08-17 10:33:20
66
aishamohammed6171
Aisha Mohammed ❤️ :
point taken 👌
2026-08-17 15:38:36
0
matildanihat2
MATILDA💕NIHAT :
Asante my dear
2026-08-17 16:32:18
2
karim.abdulkarim4
Karim Dula :
that's true
2026-08-18 13:46:16
0
maitham0100
Nuur hijab collection :
Mliopo kwene ndoa muwe mnatuombea 😂😂😂
2026-08-17 17:29:14
37
miriamluganotz
Miriam Lugano :
sio kwa kizazi hiki aut kama anakupenda hata adhini nawewe atakuoa TU ila kama hakupendi atadhini nawewe na anakuacha watu wameanza toka wapi shule ya msingi wamezini mpaka basi nawakaowana japo sio wote kwahiyo nimipango ya mungu kama sio wako hata usipodhini au udhini hawezi kuwa...✍️
2026-08-18 10:30:30
5
yasminyusuf18
Prettyyasmin :
asante studio
2026-08-17 09:22:03
29
proudlythirdborn
Muna🇸🇴🇰🇪 :
Mm mwanaume akiniambia tuzini immediately nampiga mblock ya........... it's my nature wallahi huwa najiuliza anataka kunichezea Je nitafaidika Nini au yy anafaidika Nini tunamuazi Allah tu Kwa uchafu wa dunia hapo nasema Bismillah block confirm delete Alhamdullilah
2026-08-17 14:44:49
35
madamsara7
madamsara7 :
Wakwangu ni me zini naye na uyo uyo amenioa ndoa na tuna watoto Sasa uyo mwanaume gani unaye mzungumzia
2026-08-17 13:08:29
12
haniphaomar
goat :
😁😁😁 wew hyo ambae sikufany chochot nae tulikaa 3 yrs kwa shida nimekuja kuolewa na mtu kweny mahusian 3 yrs ndoa ina 10yrs usitudanyange bhana
2026-08-17 12:16:44
25
laminbaristalegend
Abu Amir :
bora na wao wasiombe pesa tu mpaka tuwe kwenye ndoa inshallah
2026-08-18 04:20:20
8
sadahaji116
Tresious🌹 :
ridhiki anatoa mungu jaman
2026-08-17 13:21:30
9
brightlady48
Bright Lady :
hakuna Maisha ya girlfriend and boyfriend kwa miaka 3 4 7 AaahSubutuu.....
2026-08-17 10:04:19
9
yusrajuma.15
Yusra Juma :
sisi tulizini miaka 3.tukaoana rasmi..sai miaka 9....Alhamdulillah
2026-08-18 12:16:24
1
glad2965
glad :
uko sayar ipi kwan
2026-08-18 14:19:11
1
To see more videos from user @thehijabyjournalist, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About