@emma.knowsmore: Huwezi Kuacha Tabia Zako Au Huwezi Kubadili Mipango Yako Kwa Kufanya Vitu Vipya. Njia Ngumu Na Inayofanya Kazi Ni Moja Tu. KUACHA KWANZA KILICHOPO KABLA YA KUBADILISHA KIPYA Unavyoacha Unaonyesha Mimi Sio Yule Tena, Lakini Ukitaka Kubadilisha Utashindwa Tu Kwasababu Bado Umebeba Utambulisho Wa Zamani (OldFrequency) So Hata Ukifanya Kitu Kipya Hakiwezi Kudumu Muda Mrefu Kwasababu You Can Not Outrun Your Frequency. Yes Huwezi Kukimbia Kivuli Chako😊 Lazima Ufe Ili Uzaliwe Upya ili Uwe Na Utambulisho Mpya, Kadri Unavyotaka Kufanya Vitu Vipya Ni Sawa Na Kukaribisha Utambulisho Mpya Ambao Kila Ukija Unakuta Kuna Mwingine Upo Hivyo Unakosa Nafasi. Na Si Unajua Huwezi Kulalia Vitanda Viwili😀Yesu Mwenyewe Alisema Huwezi Kutumikia Mabwana Wawili.. Ni Kuchagua Tu Uwe Wa Moto Au Wa Baridi😎 Baada Ya Dhiki Ni Faraja😊Inabidi Upitie Ego Death Then Baada Ya Hapo Utakuwa Huru Na Utaweza Kufanya Chochote Unachotaka. Au Next Episode Tuongelee Ego Death🤔🤔 Anyways, Hii Itakuwa Imekusaidia.?