@oneminutewithsheikhjamal: Salaam ni zaidi ya maneno ni ibada inayojenga upendo baina ya Waumini💯Eneza salamu kwa unaowajua na usiowajua, lisha wengine kwa kadri ya uwezo wako, dumisha uhusiano wa familia na simama usiku kwa ajili ya Mola wako hizi ni njia zinazokupeleka Jannah💯🤲🏽 May Allah make us among those who act upon this beautiful advice #oneminutewithsheikhjamaludin #islamicreminder #fyp #assalamualaikum #muslimtiktok