@peter_mo_tz1: #creatorsearchinsights #funnydnace #🇰🇪🇹🇿🌹 #fouryou #fyp

@𝗺𝗼-𝗳𝗶𝗿𝗲🔥
@𝗺𝗼-𝗳𝗶𝗿𝗲🔥
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 17 August 2026 08:31:18 GMT
628310
48168
300
1739

Music

Download

Comments

yassin.ndimbo
Yassin Ndimbo :
shida alafu hesabu za kulipa atuja fundishwa 😂😂
2026-08-19 08:31:28
146
user94246123475220
hanipha cute :
halopesa hawataki kabisa kunikopeshaa akii🤣🤣
2026-08-24 13:50:42
47
user1967151449979
the fixer :
aya saaa ambao tushaanza kuzifanyia kazi huku mtaani tujuane kwa like😂
2026-08-27 07:21:01
32
user8412848081285
God jay :
shida hatujafundishwa hesabu za kulipa
2026-09-04 08:16:48
16
zawadikivambe
lt's.... official zainab ❤️ :
songesha oyeeeee🤣🤣
2026-08-21 21:46:45
33
lucy.mathayo3
Farid :
na nilikua sikos hizo hesabu kwa sasa nazifanyia kazi ipasavyo😂😂
2026-09-05 19:26:33
8
fostamtweve930
happy :
kibaya walitufundisha kukopa tu na sio kurudisha
2026-08-19 13:13:44
19
ahmedyasin910
Ayzach06 :
walishawaz mbalii
2026-08-24 08:24:18
14
anthonykontawa992
Thavie 👋 :
👋natafta mdada mwenye mimba twende clinic ili nipate net mbu wataniua jamani 🤣🤣
2026-08-27 16:33:08
12
yusuphhaule733
Yusuph Haule :
kak umetish aisee Nisha elewa
2026-08-24 17:27:50
7
user1572168292922
Maksyo galula :
wangap tumejua leo
2026-08-17 16:12:56
14
augustinokiyule79
@KijanaMpya :
songesha wanisamehe tu maana😭
2026-08-21 16:57:36
10
b.m.f935
MABRAAH.🗡️☠️🤫🤫 :
na tulikuwa haturudishi😂
2026-09-04 15:10:51
6
mkogwe9
mkongwe aka :
na hatukufunzwa kulipa 😅😅😅
2026-09-06 06:22:03
5
njedengwa
Njedengwa :
mpaka reo nchi inadaiwa
2026-08-28 10:41:42
8
user9253609105160
[email protected] :
maana mimi sijui akii nielewesheni
2026-08-28 13:19:42
5
veronica.dada
veronica dada :
😁😁😁😁😁 bila ya hivyo sijuwi ninge fanyaje
2026-08-26 06:03:33
6
laurentdoglas
Laurent Doglas :
lakini Mbona zile tulikuwa tunakopa af atulipi au ndo walikuwa wanatufundisha jinc ya utapeli?
2026-09-02 06:42:06
5
majidyelvis
shaker04 :
umefany nimecheka kwa sauti
2026-08-19 20:42:11
6
user9974120956800
Petro tz :
kumbe ata nchi yetu inajua hilo🤣🤣🤣🤣
2026-08-20 17:19:37
7
mkatolik.org
Mkatolik org :
SONGESHA wanajuta kunifahamu
2026-08-25 17:39:25
7
mpemba20
Juma Hamadi☪️ :
nimecheka mpk nimekufa
2026-08-19 08:44:20
11
user8882271158200
itika faraja :
umegundua nn ndugu yang🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2026-08-23 08:57:20
13
josephkaingu2
josephkaingu657 :
ndio maana wana siasa wanaipenda sana
2026-09-05 16:37:47
3
seleli.mado
Official M̥ͦ𝐚𝐝𝐨🍂🍁 :
penda shana😂
2026-09-06 08:39:41
3
To see more videos from user @peter_mo_tz1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About